pakistan (13)
-
DuniaRais wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Pakistan: Ukombozi wa Quds ni ahadi ya Mwenyezi Mungu
Hawza/ Katika kumbukumbu ya siku ya kukaliwa kimabavu kwa mji mtakatifu wa Quds, Seneta Raja Nasir Abbas Jafari, katika tamko alilolitoa, amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni na…
-
DuniaRais wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan: Israeli ni utawala wa kimabavu, usio halali na ni tishio kwa amani ya dunia
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kwenye mnasaba wa Siku ya Nakba (15 Mei), amelieleza utawala wa Kizayuni kuwa ni utawala wa kunyang’anya kwa nguvu…
-
Makamu wa Rais wa Baraza la Ulama wa kishia Pakistan:
HawzaUmoja na mshikamano ndiyo njia ya uokovu kwa umma wa kiislamu
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Arif Hussein Wahidi, katika mkutano wa kitaifa wa umoja, alitaja umoja wa umma wa kiislamu kuwa ndio njia pekee ya kukabiliana na maadui, na akataka ujumbe wa Qur’ani…
-
Mjumbe Jumuiya ya Husainia ya Parachinar:
DuniaMgogoro wa Parachinar nchini Pakistan bado unaendelea kugharimu maisha; magaidi hawana huruma hata kwa watoto
Kufuatia kuendelea kuzingirwa watu wa Parachinar kwa kipindi cha miezi kadhaa, kikao muhimu kimefanyika mjini Islamabad huku kikhudhuriwa na kundi la wanazuoni, pamoja na watu mashuhuri wa kisiasa…
-
Kaimu Rais wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan:
DuniaHija ni alama ya umoja wa Umma wa kiislamu duniani
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Arif Hussein Waahidi, katika mkutano wa kila mwaka wa hija, alieleza kuwa: hija ni siri ya umoja wa waislamu wote ulimwenguni.
-
DuniaUjumbe wa Raisi wa Shura ya Maulamaa wa Kishia Pakistan kutokana na Mnasaba wa kufariki Papa Francis
Kwa mujibu wa shirika la habari la Hawza, Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, Raidi wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan, ameeleza masikitiko yake na huzuni kufuatia kifo…
-
Katika kikao kilichofanyika nchini Pakistan imesemwa kuwa:
DuniaKiongozi Mkuu wa Mapinduzi bila shaka ndie mtetezi wa kweli wa ubinadamu
Kongamano la lililofana ambalo lilipewa jina la “Karbala ya zama za Palestina” limefanyika mjini Islamabad, Pakistan, kwa kushirikisha shakhsia mashuhuri za kisiasa, kidini na vyombo vya habari…
-
Makamu wa Rais wa baraza la umoja wa waislamu Pakistan:
DuniaKuwazuia wanao uwawa Parachinar kunaendelea chini ya kivuli kinacho tokana na ukimya wa serikali
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Ahmad Iqbal Rizvi, katika hotuba yake aliyoitoa kwa kuashiria kuzingirwa miezi minane watu wa Parachinar, aliikosoa vikali serikali na taasisi husika kutokana…
-
Rais wa Shura ya Wanazuoni wa Kishia Pakistan:
DuniaUtata katika mwenendo wa Marekani ndio chanzo cha vita sehemu mbali mbali
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika taarifa kuhusu mazungumzo yake kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani, amesisitiza kuwa: Mazungumzo haya yanaweza tu kuzaa…
-
HawzaMaulamaa wa Pakistan wasisitiza kuhusu mapambano dhidi ya Israel na kuzuiwa kikamilifu Bidhaa za mazayuni
Kikao cha Kitaifa cha Palestina kimefanyika kwa ushiriki wa maulamaa mashuhuri na viongozi wa kidini katika Kituo cha Kitamaduni cha Urafiki kati ya Pakistan na China mjini Islamabad.
-
DuniaWaislamu wa Kishia wa Hyderabad Pakistan, wakusanyika kupinga uharibifu wa Pakistan , katika mnasaba wa kumbukizi ya Kubomolewa makaburi hayo
Katika kumbukumbu ya siku ya kubomolewa kwa makaburi matukufu ya Jannatul Baqi', Waislamu wa madhehebu ya Shia mjini Hyderabad, Pakistan walifanya maandamano ya kuonesha upingaji wao dhidi ya…
-
DuniaKongamano la kuwaunga mkono Palestina lafanyika Karachi, Pakistan
Kutokana na uvamizi unaofanywa mara kwa mara na Marekani wakishirikiana na utawala wa Kizayuni dhidi ya taifa la Palestina, {kongamano la kuwaunga mkono Palestina} limefanyika katika jiji la…
-
DuniaKudhihirisha Upendo wa Wapakistani kwa Imam Ali (a.s)
Nchini Pakistan; Kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kifo cha Imam Ali (a.s), miji ya nchi hiyo iligubikwa na hali ya majonzi. Makundi maalum ya kuomboleza yaliyo andaliwa kwa heshima maalum…