Iwapo Imām hatokuwa ni mwenye kuhifadhiwa dhidi ya makosa, basi itawapasa watu wamtafute Imām mwingine ili awajibu mahitaji yao. Na iwapo na huyo pia hatokuwa ni mwenye kuhifadhiwa dhidi ya makosa,…
Hawzah/ Imam ambaye anachukua nafasi ya uongozi na uwatawala kwa watu, ni lazima aijue dini kwenye nyanja zake zote na awe na uelewa kamili wa sheria zake, vilevile aweze kujibu maswali yote…