Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na sita:
اللّهُمَّ وَفِّقْنِی فِیهِ لِمُوافَقَةِ الْأَبْرارِ، وَجَنِّبْنِی فِیهِ مُرافَقَةَ الْأَشْرارِ، وَآوِنِی فِیهِ بِرَحْمَتِک إِلی دارِ الْقَرارِ، بِإِلهِیتِک یا إِلهَ الْعالَمِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Niwafikie katika mwezi huu kwa kusikizana na watu wema, na Uniepushe katika mwezi huu kurafikiana na wabaya, Uniweke kwa Rehema yako kwenye Nyumba ya Utulivu kwa Utukufu wako Ee Bwana Mwabudiwa wa viumbe.
Maoni yako