Vita kati ya Israeli na Lebanon (89)
-
DuniaViongozi wa Harakati ya Amal na Hizbullah wathibitisha umuhimu wa ushiriki wa kitaifa na ulazima wa Serikali ya Lebanon kubeba majukumu
Hawza/ Viongozi wa Hizbullah na Harakati ya Amal wamefanya mkutano ambapo walijadili maendeleo na matukio ya hivi karibuni nchini Lebanon.
-
Sheikh Zuhair Ja‘id:
DuniaAmani Isiyojengwa Juu ya Uadilifu na Mazungumzo Yasiyofuata Misingi Haina Maana
Hawzah/ Mratibu Mkuu wa “Jabhatu al-‘Amal al-Islami nchini Lebanon”, amesema: Migogoro ambayo dunia inashuhudia leo haiishii tu katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kiusalama, bali kabla ya…
-
Sheikh Al-Khatib Baada ya Kurejea Lebanon:
DuniaViongozi wa Iran na Iraq Wapo Tayari Kusaidia Lebanon na Kusini Mwake
Hawza/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Shia la Lebanon, baada ya ziara ya siku 11 nchini Iran na Iraq, amesisitiza utayari kamili wa viongozi wa Iran na Iraq wa kutoa msaada wa…
-
DuniaWanazuoni wa Baalbek Wasisitiza Umuhimu wa Mshikamano na Mhimili wa Muqawama Dhidi ya Miradi ya Kizayuni
Hawza/ “Harakati ya Utamaduni wa Kuunga Mkono Muqawama” na “Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon” zimeendesha hafla katika mji wa Baalbek kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa…
-
DuniaAyatullah Al-Udhma Sistani Aanzisha Mpango wa Kuwasaidia Yatima wa Lebanon Walioathiriwa na Vita
Hawzah/ Ofisi ya Ayatullah Sistani nchini Lebanon imetangaza mpango wa kuwasaidia yatima walioathiriwa na vita katika nchi hiyo.
-
DuniaMashambulizi ya Kikatili ya Utawala wa Kizayuni Dhidi ya Lebanon Yaendelea
Hawzah/ Adui wa Kizayuni ameendelea na mashambulizi yake dhidi ya kusini mwa Lebanon na kukiuka mamlaka na uhuru wa nchi hiyo, kupitia mashambulizi ya anga, operesheni za kulipua na kuchoma moto…
-
DuniaKiongozi wa Druze wa Lebanon: Hatuwezi tukawa na amani pamoja na adui mporaji
Hawza/ Sheikh Sami Abi al-Muna alisisitiza kuwa: Njia pekee ya kuliokoa taifa ni watu kuwa kitu kimoja, katika kukabiliana na uchokozi wa wazi ambao haujali kabisa maazimio ya kimataifa wala…
-
Taarifa ya “Mkutano Pamoja kwa Ajili ya Ubinadamu nchini Lebanon”:
DuniaKuanzisha Mahusiano ya Kawaida na Israel Haiwezekani na Ni Tishio kwa Uwepo wa Lebanon
Hawza/ Katika juhudi za kufungua nafasi ya kitaifa na jumuishi inayovuka tofauti za kimadhehebu na kidini, ulifanyika Mkutano wa Pamoja kwa Ajili ya Ubinadamu nchini Lebanon.
-
Rais wa zamani wa Chama cha Kataeb cha Lebanon:
DuniaMazungumzo chini ya mashambulizi hayakubaliki; viongozi wanapaswa kuupitia upya mwenendo wao
Hawza/ Katika hali ya kuongezeka mashambulizi ya adui wa Kizayuni dhidi ya Lebanon, hususan katika miji ya Ansar na Deir al-Zahrani, maswali kuhusu manufaa ya kuendelea kwa mazungumzo yameongezeka.
-
Naibu Spika wa zamani wa Bunge la Lebanon:
DuniaUtawala vamizi unalenga kuidhalilisha Lebanon na kupiga pigo dhidi ya umoja wa kitaifa
Hawza/ Adui mhalifu wa Kizayuni anaendelea na uchokozi wake dhidi ya Lebanon, ardhi yake na watu wake, na ametenda mauaji mawili katika miji miwili ya Ansar na Deir al-Zahrani.
-
Baraza la Wanazuoni wa Beirut:
DuniaTokeni katika kile mnachokiita “mazungumzo” na simameni pamoja na watu wenu
Hawza/ Baraza la Wanazuoni wa Beirut limetangaza kwamba: Adui wa Kizayuni kusini mwa Lebanon ametenda mauaji ya kutisha dhidi ya raia wasio na hatia, wakiwemo wanawake na watoto, ili kuongeza…
-
Barua ya Sheikh Ahmad Qabalan kwa Rais wa Lebanon:
DuniaSuluhisho liko katika makubaliano ya kitaifa, si katika kuitegemea Washington na Tel Aviv
Hawza/ Mufti Mkuu wa Jaafari na mwanazuoni wa Kishia nchini Lebanon, katika barua yake ya wazi kwa Rais wa Lebanon, alisema: Kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu namwambia Rais: Kila kinachotokea…
-
Jumuiya ya Familia za Mashahidi Watoto wa Lebanon:
DuniaSerikali ya Lebanon ndiyo inapaswa kulaumiwa juu ya mauaji ya watoto na raia wasio wanajeshi
Hawza/ “Jumuiya ya Familia za Mashahidi Watoto wa Lebanon” imelaani mauaji mapya yaliyofanywa na jeshi la uvamizi la Israel dhidi ya familia moja katika mji wa Ansar, kusini mwa Lebanon.
-
Mkusanyiko wa Wanazuoni wa Kiislamu Lebanon:
DuniaHakuna Maendeleo Yatakayopatikana Katika Mchakato wa Israel Kujiondoa
Hawza/ Muungano wa “Wanazuoni wa Kiislamu” wa Lebanon umesema: Katika hali ya kuendelea mfululizo wa mashambulizi ya adui wa Kizayuni kupitia mashambulizi ya mizinga na ya anga dhidi ya Lebanon,…
-
Sheikh Naim Qassem:
DuniaMuqawama Unaelekea Kwenye Chaguo Zake, Na Yeyote Anayetegemea Kujisalimisha Ameegemea Kwenye Sarabi (Mazigazi)
Hawza/ Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem, katika maadhimisho ya miaka 20 ya ushindi katika Vita vya Siku 33, huku akisisitiza kwamba Muqawama una uwezo wa kubadilisha mlingano wa nguvu,…
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
DuniaMuqawama na Jeshi ni nguzo za mamlaka ya kitaifa; bila Jeshi na Muqawama, Lebanon haina mustakabali
Hawza/ Sheikh Ahmad Qabalan, Mufti Mashuhuri wa Jaafaria, amesema: “Muqawama na Jeshi katika uwanja huu ni mtaji wa mamlaka ya kitaifa, na bila Jeshi na Muqawama, hakuna mustakabali kwa Lebanon,…
-
Mjumbe wa Hizbullah:
DuniaMuqawama utaendelea kuwa kisu katika kifua cha kila dhalimu na mvamizi
Hawzah/ Hujjatul-Islam Sayyid Shukr amesisitiza kwamba; Muqawama utaendelea kuwa kisu katika kifua cha kila dhalimu na mvamizi; wale walioikomboa Kusini wanaweza kuikomboa tena.
-
DuniaOmbi la Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon kwa Serikali ya Nchi Hiyo
Hawzah/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon ameiomba serekali ya Lebanon, kutokana na mkwamo uliopo katika mazungumzo na kushindwa kwa chaguo zake, kufungua milango…
-
Mbunge wa Kambi ya Muqawama:
Dunia“Makubaliano ya Kimfumo” Hayana Manufaa kwa Lebanon
Hawzah/ Hussein Jashi amesema: “Makubaliano ya Kimfumo” hayana manufaa kwa Lebanon, kwa sababu hayajabadilisha mwelekeo wa mapambano dhidi ya adui Mzayuni.
-
Mufti wa Sur na Jabal Amil:
DuniaTunaendelea kutenda kwa mujibu wa fikra na njia ya Imam Musa Sadr ili Lebanon iendelee kubaki kuwa taifa la mwisho kwa watoto wake wote
Hawza/ Harakati ya Amal ya Lebanon kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein (as) na siku ya tatu ya shahada ya Hussein Yasin Ibrahim, iliandaa hafla kubwa katika Husseiniyya ya mji wa Toulin.
-
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa:
DuniaNimeshtushwa uharibifu mkubwa uliofanywa nchini Lebanon
Hawza/ Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini Lebanon, amesema; ameshtushwa na ukubwa wa uharibifu na idadi ya raia waliopoteza…
-
Vyama vya Lebanon:
DuniaTunaunga mkono hatua za Yemen za kumaliza mzingiro wa kidhalimu na kutoa jibu la kulipiza kwa msingi wa haki
Hawza/ Kikao cha vyama, makundi na shakhsia za kitaifa za Lebanon kimesisitiza mshikamano wake na haki ya wananchi wa Yemen ya kumaliza mzingiro wa kidhalimu uliowekwa dhidi yao, pamoja na haki…
-
Sheikh Ali Al-Khatib:
DuniaHatutafanya Makubaliano kwa Damu ya Mashahidi Wetu na Tumnataka Adui Aondoke Kikamilifu katika Ardhi Yetu
Hawza/ Makamu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia nchini Lebanon amesisitiza: Hatukubali aina yoyote ya mapatano yanayohusu damu ya mashahidi wetu, na tunataka adui wa Kizayuni aondoke…
-
Mbunge wa Kambi ya Muqawama Lebanon:
DuniaUongozi wa Nchi Umewaacha Wananchi Wake na Unasisitiza Kuikokota Lebanon Kwenye Hali Hatari Sana
Hawza/ Ali Fayyadh amesisitiza kuwa; baada ya kumalizika kwa duru ya mazungumzo mjini Roma kati ya ujumbe wa Lebanon na adui Israel, misimamo rasmi ya serikali ya Lebanon imefichuka zaidi kuliko…
-
Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa:
DuniaMarekani na Utawala wa Kizayuni Hawana Dhamira ya Kufanikisha Usitishaji Vita wa Kudumu
Hawza/ Mchambuzi wa masuala ya kisiasa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni umeonesha tena kwamba hauheshimu makubaliano wala maazimio yoyote. Alisisitiza kuwa kuendelea kwa uvamizi na uharibifu…
-
Mwanazuoni wa Kisunni wa Lebanon:
DuniaMakubaliano ya “Washington” ni Kinyume cha Sheria na Yanapingana na Maslahi ya Kitaifa ya Lebanon
Hawza/ Jumuiya ya "Qawluna wal-'Amal" ya Lebanon imesisitiza kupinga mazungumzo ya moja kwa moja na adui Mzayuni wa Israel, na kutoa taarifa iliyosomwa na Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Sheikh Ahmad…
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
DuniaTuko Katika Hatua Hatari Zaidi ya Kitaifa; Rais Aoun Ameisababishia Lebanon Janga la Kitaifa
Hawza/ Mufti Mkuu wa Jaafaria wa Lebanon amesema katika ujumbe wake: Hatutatoa nafasi kwa utawala wowote kuendeleza mradi wowote unaoitumikia Israel ya kigaidi, kile ambacho Rais Joseph Aoun…
-
Waziri wa Zamani wa Lebanon:
DuniaSerekali Imefanya Mapinduzi Dhidi ya Katiba; Muqawama Utaendelea Muda wa Kuwa Uvamizi Huu Upo
Hawza / Mustafa Bairam amesema: Dola ya Lebanon imejisalimisha kwa kutia saini kile alichokiita "makubaliano ya fedheha na aibu yaliyoandikwa na Benjamin Netanyahu."
-
DuniaKikao Kilicho na Anuani “Lebanon Ina Nguvu Zaidi Kupitia Uhusiano Wake na Iran” Chafanyika Baalbek
Hawza/ Harakati ya “Utamaduni wa Kuunga Mkono Muqawama” imeandaa kikao cha kitaifa kilichobeba anuani: “Lebanon Ina Nguvu Zaidi Kupitia Uhusiano Wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran”.
-
DuniaHizbullah Yawapinga Wanaounga Mkono Uhuru wa Lebanon Kupitia Makubaliano ya Maridhiano na Israel
Hawza/ Baada ya kupita siku kadhaa tangu kutangazwa kwa makubaliano ya maridhiano kati ya serikali ya Lebanon na Israel, makundi mbalimbali ya kijamii na vyama vya kisiasa vya Lebanon yameeleza…