Vita kati ya Irani na Marekani (151)
-
Ayatullah Sadii katika Swala ya Ijumaa Qum:
DuniaWananchi wanataka kulipiza kisasi damu ya Imam shahidi na wanafunzi wa Minab/ Pongezi kwa Umma wa Kimapinduzi
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qum amesema: Kwa zaidi ya usiku 200, wananchi wenye kushikamana na Wilaya, wazalendo na wenye imani wameendelea kubaki uwanjani wakiwa na imani juu ya nusura…
-
Imamu wa Ijumaa wa Mashhad:
DuniaMuqawa dhidi ya mashambulizi ya adui hauna muda maalumu
Hawzah/ Ayatullah Sayyid Ahmad Alam al-Huda, huku akisisitiza kwamba muqawama wa wananchi wa Iran dhidi ya mashambulizi ya adui hauna muda maalumu, amesema kuwa wapiganaji wa Iran, kwa kutegemea…
-
Wawakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Irani, Mikoani:
DuniaVitisho Vyovyote Dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi Vichukuliwe kuwa Shambulio Kubwa Zaidi Dhidi ya Mistari Mwekundu na Maslahi ya Taifa
Tishio lolote la kumuua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, hata ikiwa ni kwa kiwango cha maneno tu linapaswa kuchukuliwa kuwa shambulio la kiwango cha juu kabisa dhidi ya mistari miekundu…
-
DuniaWakati Uvamizi Dhidi ya Taifa Unapolenga Heshima ya Kibinadamu
Hawza/ Katika siku hizi ambazo dunia inashuhudia tena matumizi makubwa ya nguvu za kijeshi katika eneo hili, picha mbili kutoka kusini mwa Iran hazipaswi kufutika katika kumbukumbu ya fikra na…
-
DuniaUbalozi wa Iran Vatican Wawataka Viongozi wa Dini Kuvunja Ukimya
Hawza/ Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Vatican, kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya utawala wa kigaidi wa Marekani kusini mwa Iran, katika eneo la Sirik, umewataka wanazuoni,…
-
Ayatullah Araafi Katika Swala ya Ijumaa ya Qom Amefafanua:
DuniaHoja 9 za Udhaifu na Kukosa Ustahimilivu kwa Marekani na Ubeberu Dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu / Kusimama Imara Taifa la Iran Kumeushangaza Ulimwengu Mzima
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qom amesema: Uwezo na nguvu ya taifa la Iran pamoja na uongozi wake katika kusimama imara dhidi ya ubeberu umeushangaza ulimwengu mzima. Wao hawakudhani kwamba…
-
Ayatullah Arafi:
HawzaUhalifu wa Marekani katika Sherehe ya Harusi ya Sirik ni “Uhalifu wa Kivita”; Majibu Makali yaendelee Hadi Kuzuia Kabisa Uchokozi wa Adui
Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, amelaani vikali shambulio la anga la Marekani dhidi ya maeneo ya makazi na sherehe ya harusi katika eneo la Sirik, mkoani Hormozgan, akilitaja tukio hilo kuwa…
-
Ayatullah A’rafi katika kumbukizi ya siku ya 40 ya mazishi ya Imam Shahidi:
HawzaImam Shahidi alikuwa mbunifu wa kuzalisha nguvu kwa ajili ya Iran/ Taifa limesimama kulipiza damu ya kiongozi wake shahidi
Ayatullah A’rafi, huku akisisitiza kwamba kisasi, kulipiza kisasi na kudai kisasi kwa ajili ya Imam Shahidi na mashahidi wapendwa si jambo la mtu binafsi wala la kihisia, amesema: “Taifa letu…
-
DuniaWanazuoni wa Bahrain Wajibu Kauli za Kipuuzi za Mtawala wa Nchi Hiyo Kuhusu Iran
Hawzah/ Mtu anayesema kwamba Umma mmoja una ubora juu ya Umma mwingine katika msingi wa dini hii ni mjinga, au anajifanya mjinga; kwa sababu fadhila zote ni za Mwenyezi Mungu, na kujiona bora…
-
Ayatullah Arafi afafanua katika Swala ya Ijumaa ya Qom:
DuniaMafunzo 8 ya Kimataifa na Kistaarabu ya “Muqawama” ya Taifa la Iran katika Vita vya Tatu vya Kulazimishwa/ Dunia imetambua thamani ya muqawama
Hawza/ Imam wa Swala ya Ijumaa ya Qom, akifafanua mafunzo 8 ya kimataifa na kistaarabu yanayotokana na muqawama wa Taifa la Iran, amesema kwa msisitizo kwamba: Muqawama ni subira yenye hekima…
-
DuniaPendekezo la kutuma ujumbe wa rambirambi kwa Marekani lazua mvutano katika Bunge la Jordan
Hawza/ Pendekezo la mmoja wa wabunge wa Jordan la kutuma ujumbe wa rambirambi kwa Bunge la Marekani (Congress) kufuatia kuuawa kwa wanajeshi kadhaa wa Marekani katika shambulio dhidi ya kambi…
-
Kataib Sayyid al-Shuhadaa (as):
DuniaKisasi cha damu ya Mazuwari wa Imam Hussein (as) kitakuwa jinamizi la mauti kwa wavamizi
Hawza/ Ofisi ya Muqawama wa Kiislamu ya Kataib Sayyid al-Shuhadaa (as) imeeleza kuwa; kitendo cha kigaidi cha Marekani na utawala wa Kizayuni cha kuwalenga mazuwari wasio na ulinzi wa Haram ya…
-
Video ya AI:
VideoWalio asisi vita vya kulazimishwa dhidi ya Iran hawataepuka kisasi cha watu huru duniani
Taswira ya mfano inayowakilisha ahadi ya Ayatullah Sayyid Mujtaba Khamenei kuwahusu wahusika wa uhalifu uliotekelezwa katika vita viwili vya mwisho vilivyolazimishwa dhidi ya wananchi wa Iran,…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Najaf Ashraf:
DuniaTuko Pamoja na Jamhuri ya Kiislamu; Tuna Hatima Moja na Maisha Bila Wao Hayana Kheri Wala Maslahi
Hawza/ Hujjatul Islam wal Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanchi amesema: "Tunaitaka Serikali ya eneo la Kurdistan isiruhusu makundi ya wapinzani wa mapinduzi kufanya uvamizi na mashambulizi dhidi…
-
Ayatullah Jawadi Amuli:
DuniaWananchi Kuwepo Uwanjani ni Miongoni mwa Vielelezo vya Nusura ya Mwenyezi Mungu/ Marekani na Israel Wamedhalilika Mbele ya Iran
Hawza/ Ayatullah Jawadi Amuli amesema kuwa; hakuna aliyedhani kwamba kwa miezi kadhaa wanawake na wanaume wangekuwa na uwepo mkubwa kiasi hicho katika maeneo mbalimbali na kuwa watetezi wa Mapinduzi…
-
Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa:
DuniaMarekani na Utawala wa Kizayuni Hawana Dhamira ya Kufanikisha Usitishaji Vita wa Kudumu
Hawza/ Mchambuzi wa masuala ya kisiasa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni umeonesha tena kwamba hauheshimu makubaliano wala maazimio yoyote. Alisisitiza kuwa kuendelea kwa uvamizi na uharibifu…
-
DuniaWakati Kukosa Adabu na Jeuri Vinapokuwa Ngome ya Mwisho ya Mwanasiasa wa Marekani Aliyeshindwa
Hawza/ Kushuhudia umoja wa kipekee wa watu wa Iran katika kumsindikiza Imam Shahidi wao kulisababisha mshtuko mkubwa kwa maadui wa taifa hili, kiasi kwamba Trump asiyeheshimu ahadi alijikuta…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaVita vya Hivi Karibuni vya Marekani na Israel dhidi ya Iran si Vita vya Nchi Moja, Bali ni Mapambano ya Umma Mzima wa Kiislamu
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, huku akisisitiza kuhusu sura pana ya makabiliano ya hivi karibuni kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ameeleza…
-
Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni wa Ahlul-Bayt (as) nchini Uturuki:
DuniaMaadui wa Iran Hawakufanikiwa Kufikia Lengo Lolote Walilotangaza
Hawza / Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni wa Ahlul-Bayt (as) nchini Uturuki, katika kipindi cha televisheni, alitoa tathmini kuhusu mwezi wa Muharram na kile alichokitaja kuwa ni ushindi wa Iran.
-
HawzaAyatullah Kaabi Aeleza Masharti Yanayopaswa Kuzingatiwa kwa Ajili ya Kumaliza Vita vya Kulazimishwa
Hawza/ Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom amesema: Mfumo Mtakatifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe hautavuka mistari myekundu inayohusiana na haki za taifa la Iran, na…
-
DuniaRais wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Ahlul-Bayt wa Uturuki Asifu Uthabiti na Nguvu ya Watu wa Iran
Hawza/ Rais wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Ahlul-Bayt wa Uturuki amesema kuwa; kizazi kipya cha Iran, kufuatia matokeo ya vita vya hivi karibuni dhidi ya Iran, kimeuishi “utamaduni wa Muqawama” si…
-
Wataalamu na Wachambuzi:
DuniaMabadiliko ya Kivita na “Umoja wa Medani za Mapambano” Vamevuruga Hesabu za Kizayuni na Kimarekani nchini Lebanon na katika Ukanda Mzima
Hawza/ Mapambano katika eneo dhidi ya utawala wa Kizayuni yameingia katika hatua ngumu zaidi, dalili za kushindwa kwa utawala huo wa uvamizi zinazidi kujitokeza siku baada ya siku.
-
Ayatullah A'rafi:
HawzaOngezeni Utukufu wa Uwepo wa Wananchi na Vijana wa Iran Mitaani, na Imarisheni Zaidi Utamaduni wa Kishujaa na Roho ya Muqawama/ Taifa la Iran Limeandika Ukurasa wa Dhahabu Katika Historia ya Nchi Hii kwa Zaidi ya Siku Mia Moja
Hawza/ Taifa tukufu na lenye heshima la Iran, hususan vijana wapendwa, kwa uwepo wao kwa zaidi ya siku mia moja katika viwanja na maeneo mbalimbali, wameandika ukurasa wa dhahabu katika historia…
-
DuniaMchambuzi wa Kipalestina: Mwamko wa Kisiasa katika Nchi za Ghuba Umeanza
Hawza/ Abdul Bari Atwan, mchambuzi na mwandishi mashuhuri wa Kipalestina huku akirejelea upinzani wa Saudi Arabia dhidi ya matumizi ya anga yake na Marekani kwa ajili ya kushambulia Iran, alisema…
-
DuniaMtawala wa Bahrain Amechukua Msimamo Mkali dhidi ya Maombolezo ya Muharram ya Mashia
Hawza/ Waziri wa Mambo ya Ndani wa Bahrain, kama ilivyo desturi yake ya kila mwaka, kabla ya kuanza kwa mwezi wa Muharram al-Haram, aliwaita viongozi wa takiya, huseinia na waandaaji wa majlisi…
-
Ayatullah Araki:
DuniaKushambulia maslahi ya Marekani na wafuasi wake ni wajibu wa kisheria/ Hatua yoyote inayosababisha kudhoofika ari ya mapambano ni haramu
Hawza/ Mjumbe wa Baraza Kuu la Hawza, akisisitiza kwamba; hatua yoyote inayosababisha kudhoofika ari ya mapambano kwa mtazamo wa kisheria ni haramu, alisema: Kushambulia maslahi ya Marekani popote…
-
Kupitia makala:
DuniaMtazamo kuhusu ukandamizaji wa Mashia wa Lebanon na Bahrain baada ya Vita vya Ramadhani
Hawza/ Ali al-Husseini: Mashia wana mizizi ya kina katika eneo hili, popote walipo ndani ya Asia Magharibi, watakuwa kundi lenye idadi kubwa na wengi zaidi, popote waendapo na popote watokapo,…
-
DuniaMalengo ya siri ya watawala wa Bahrain yaliyo sababisha kupiga marufuku maombolezo ya Muharram nchini humo
Hawza/ Latifa al-Husseini, mwandishi wa habari kutoka Lebanon, amesema: Serikali ya Bahrain katika miezi ya hivi karibuni haijaacha kuwafuatilia na kuwakamata raia wa Kishia kwa visingizio vya…
-
Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli:
Dunia“Kumwaga damu ya Trump na Wazayuni ni matakwa ya Imam Mahdi (a.f)”
Imechapishwa tena/ Ayatullah Jawadi Amuli, huku akisisitiza umuhimu wa kuhifadhi umoja na mshikamano, alisema: “Kumwaga damu ya Wazayuni na Trump na mfano wa hao kwa sasa ni kauli ya Imam Mahdi…
-
DuniaBahrain yaongeza hatua zake kali dhidi ya Mashia
Hawza/ Nchini Bahrain, wimbi la hivi karibuni la kukamatwa, kuvuliwa uraia na kufuatiliwa kwa misingi ya kisiasa na kidini limezua mijadala mikubwa kuhusu hali ambayo nchi hiyo inaipitia.