Jumatano 10 Juni 2026 - 12:36
“Kumwaga damu ya Trump na Wazayuni ni matakwa ya Imam Mahdi (a.f)”

Imechapishwa tena/ Ayatullah Jawadi Amuli, huku akisisitiza umuhimu wa kuhifadhi umoja na mshikamano, alisema: “Kumwaga damu ya Wazayuni na Trump na mfano wa hao kwa sasa ni kauli ya Imam Mahdi (a.f).”

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Ayatullah Jawadi Amuli, mmoja wa Marajii wakuu wa taqlid, katika ujumbe muhimu wa video, alitoa mkono wa pole kutokana na shahada ya Imam Khamenei na kuashiria hali ya sasa ya nchi; ujumbe ambao unachapishwa tena.

Alisema: “Kwa mara nyingine tena tunatoa rambirambi kutokana na shahada nzito na isiyovumilika ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi mbele ya Umma wa Kiislamu pamoja na familia tukufu ya mtu huyu mkubwa na mwenye heshima.”

Hazina isiyohesabika ipo mbele / Kusisitiza kuhifadhi umoja

Mtukifu huyo alisisitiza jambo moja muhimu nalo ni kwamba; kwa sasa tupo katika kizingiti cha mtihani mkubwa, na ni lazima tuwe waangalifu na tuhifadhi kikamilifu umoja na mshikamano, ikiwa kuna maumivu madogo kwa sasa, basi kuna hazina isiyohesabika mbele yetu.

Adui ilikusudia kujaribu nchi / Imam Sadiq (a.s) alisema: “Mwueni, damu yake iko juu yangu”

Aliendelea kusema: “Ni lazima tujue kwamba mtu wa pembeni alikusudia ardhi hii na maji haya, na alitaka kuigawanya na kuitenganisha nchi. Ardhi na maji yetu ni heshima na maisha yetu. Wakati Imam Sadiq (a.s) alipoulizwa kuhusu mtu anayekusudia mali yetu, ardhi yetu na nchi yetu, tufanye nini? Alisema: ‘فاقتله دمه علی’ yaani: ‘Mwueni; damu yake iko juu yangu’, amesema Imam Sadiq (a.s).”

Kwa sasa kumwaga damu ya Wazayuni na Trump ni kauli ya Imam Mahdi (a.f)

Ayatullah Jawadi Amuli alibainisha: “Kumwaga damu ya Wazayuni na Trump na mfano wa hao kwa sasa ni kauli ya Imam Mahdi (a.f); ‘Pigana na Mzayuni, damu yake iko juu yangu’; kauli ya Imam Mahdi (a.f) ni hii kwamba: ‘Pigana na Marekani dhalimu, damu yake iko juu yangu.’”

Shukrani kwa wananchi na walinzi pamoja na watetezi wa nchi

Marjii huyu wa taqlid mwishoni, huku akiwahutubia wananchi pamoja na walinzi na watetezi wa nchi, alisema: “Salamu za Mwenyezi Mungu, Mtume (s.a.w.w), Ali bin Abi Talib (a.s), Imam Sadiq (a.s) na Imam Mahdi (a.f) ziwe juu yenu, kwa sababu nyinyi ni walinzi wa dini ya Mwenyezi Mungu.”

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha