Vita kati ya Irani na Israeli (61)
-
Ayatollah Kaabi:
HawzaLengo la Shambulio la Moja kwa Moja Dhidi ya Iran Lilikuwa Kutekeleza Mradi wa “Kufutwa Ustaarabu”
Hawza/ Ayatollah Kaabi alisema: Mpango wa kusitisha vita ni dhaifu, Ikiwa utawala wa Kizayuni na Marekani wakichukua hatua tena, taifa la Iran litajibu kwa nguvu zaidi kuliko hapo awali.
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika hafla ya kumbukumbu ya mashahidi wa vita vya kulazimishwa vya hivi karibuni:
DuniaJamhuri ya Kiislamu imeuonyesha ulimwengu uimara usio na kifani wa misingi ya mfumo na nchi
Hawza/ Kwa mnasaba wa siku ya arobaini ya mashahidi wa vita vya kulazimishwa vya siku 12 vya utawala wa Kizayuni dhidi ya taifa la Iran, leo hii hafla ya kumbukumbu ya mashahidi hao imeandaliwa…
-
DuniaUjumbe wa Kiongozi wa Mpinduzi kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kupata shahada kundi miongoni mwa wananchi wa Irani, makamanda wa kijeshi na wanasayansi wa nyuklia
Hawza/ Kwa mnasaba wa siku ya arubaini tangia kupata shahada kundi la wananchi, makamanda wa jeshi waliobobea na wanasayansi mashuhuri wa nyuklia wa nchi hii kwa mikono ya utawala muovu na mhalifu…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran:
DuniaMarafiki na maadui wafahamu kwamba, taifa la Iran halito shiriki kwenye uwanja wowote huku likiwa liaonesha upande dhaifu / Shingo ya mhalifu haipaswi kuachwa
Hawza/ Kiongozi wa Mapinduzi amesisitiza kwamba, marafiki na maadui wote wafahamu kuwa taifa la Iran halito shiriki kwenye uwanja huku likiwa liaonesha upande dhaifu, kisha akaongeza kwa kusema:…
-
Raisi wa Baraza la Maulamaa wa Imamiyya Bangladesh:
DuniaNjama za kijinga za Uzayuni wa Kimataifa ni dalili ya udhaifu na kukata tamaa kwao
Hawza/ Raisi wa Baraza la Maulamaa wa Imamiyya Bangladesh amesema: Njama za kijinga za Uzayuni wa kimataifa si tu ni ishara ya udhaifu na kukata tamaa, bali pia ni dalili ya athari ya kina ya…
-
Ayatollah Rajabiy asema:
HawzaKukubali mazungumzo na adui ni kutokuamini ahadi za Mwenyezi Mungu
Hawza/ Rais wa Taasisi ya Imam Khomeini (rah) amesema: Kukubali kufanya mazungumzo na adui ni ushahidi wa wazi wa kutokuamini ahadi ya nusura ya Mwenyezi Mungu na kutokujua kwa hakika njama za…
-
Ayatollah al-Udhma Makarim Shirazi:
HawzaHaki za binadamu zinazodaiwa na Magharibi maana yake ni jinai na kuua maelfu ya wanawake na watoto
Hawaza/ Mtukufu Ayatollah Makarim Shirazi amesisitiza kuwa: Haki za binadamu zinazodaiwa na Magharibi ni dhana isiyo na maana wala maudhui ya kweli, wao hawana imani na heshima ya mwanadamu wala…
-
DuniaMchambuzi wa Kisiasa wa Iraq: Iran Imeshinda na Imesambaratisha Mpango mypa wa "Mashariki ya Kati"
Hawza/ Ibrahim al-Sirraj, mchambuzi wa kisiasa wa Iraq, anaamini kuwa Iran imeshinda dhidi ya utawala wa Kizayuni na Marekani, na imefanikiwa kusambaratisha mradi mpya wa "Mashariki ya Kati"…
-
DuniaRaisi wa Muungano wa Umoja wa India: Imam Khamenei si kiongozi wa Iran pekee, bali ni kiongozi wa Waislamu wote duniani
Hawza/ Salman Nadwi amesema: Imam Khamenei si Kiongozi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pekee, bali ulimwengu mzima wa Kiislamu na mataifa yote ya Kiislamu yameamua kwamba yeye ni kiongozi…
-
DuniaWamarekani Wengi Wanaogopa radi-amali ya Iran kutokana na Mashambulizi ya Mabomu Dhidi ya Mitambo ya Nyuklia
Hawza/ Utafiti wa maoni unaonyesha kuwa kati ya kila Wamarekani wanne, watatu wao wana wasiwasi kuhusu radi-amali ya Iran kutokana na mashambulizi ya mabomu ya Marekani dhidi ya mitambo ya nyuklia…
-
VideoVideo / Utetezi wa kishujaa wa Seneta wa Pakistan kwa Ayatollah al-Udhma Khamenei
Hawza / Kauli za Hujjatul-Islam wal-Muslimin Raja Nasir Jafari, Mwenyekiti wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Pakistan.
-
Mwenyekiti wa Baraza la Maulamaa wa Kishia wa Pakistan:
DuniaLugha ya matusi ya mabeberu dhidi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu italeta majibu makali
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika taarifa aliyoitoa, amelaani vikali matamshi ya matusi ya Rais wa Marekani kumhusu Ayatollah Khamenei, alisisitiza nafasi adhimu…
-
Mwanazuoni Mashuhuri wa Pakistan:
DuniaVita kati ya Iran na utawala wa Kizayuni ni makabiliano kati ya kambi ya Imani na kambi ya Ukafiri
Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Abid al-Husayni, katika taarifa yake kuhusu vita baina ya Iran na utawala wa Kizayuni, ameieleza vita hiyo kuwa ni makabiliano baina ya kambi ya Uislamu na kambi…
-
DuniaMaulamaa wa Uturuki watangaza kumuunga Mkono Ayatollah al-Udhma Khamenei
Hawza/ Maulamaa wa Ahlul Bayt wa Uturuki wametangaza kwa kusema: Sisi Waislamu wenye ghera na waumini duniani, kamwe hatutakaa kimya mbele ya vitisho na dharau za Rais wa Marekani na utawala…
-
Kiongozi wa Ansarullah Yemen:
DuniaMakombora ya Iran ni sawa na jinamizi kwa Wazayuni
Hawza/ Sayyid Abdulmalik Badruddin al-Houthi, ametoa pongezi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na ushindi wake katika vita vilivyoanzishwa kwa kulazimishwa na utawala dhalimu wa Kizayuni,…
-
Abu Alaa al-Wala'i:
DuniaIran imeivuka kwa nguvu njama za kimataifa na kufikia zama mpya za uimara
Hawza/ Katibu Mkuu wa Muqawama wa Kiislamu wa Kataib Sayyid al-Shuhada, amezungumzia ushindi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya mashambulizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni na Marekani,…
-
DuniaWazayuni waomba fidia kutoka kwa Netanyahu
Hawza/ Televisheni ya Israel imeripoti kupokea maelfu ya maombi ya fidia kutoka kwa Wazayuni baada ya kumalizika kwa vita na Iran na kutokana na uharibifu mkubwa uliosalia katika maeneo ya kati…
-
DuniaMwanazuoni wa Kidini kutoka Pakistan: Iran ni sauti ya wazi ya Karbala mbele ya ubeberu wa kimataifa
Hawza/ Kikao kilichoandaliwa kwa anuani ya "Ujumbe wa Karbala na sherehe ya ushindi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran" kimefanyika katika jimbo la Sindh, Pakistan.
-
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kisheria ya Mashia wa Jammu na Kashmir:
DuniaUshindi wa kujivunia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kielelezo cha heshima kwa Umma wa Kiislamu mbele ya ubeberu wa kimataifa
Hawza/ Hujjat-ul-Islām wal-Muslimīn Sayyid Hassan Mousavi, katika ujumbe wake, ameeleza kwamba: ushindi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni ni dhihirisho la…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu:
DuniaUtawala wa Kizayuni umeporomoka chini ya mapigo ya Jamhuri ya Kiislamu na kusagwasagwa / Hongera kwa taifa tukufu la Iran na vikosi vya kijeshi
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Utawala wa Kizayuni, pamoja na makelele yote na madai yote, umeporomoka kabisa chini ya mapigo ya Jamhuri ya Kiislamu na umesagwasagwa.
-
Mwanamama Mwanasiasa wa Pakistan:
DuniaUshindi wa Mapinduzi ya Kiislamu mbele ya Marekani na Israel ni kofi kali usoni mwa wanafiki na wabeberu wa kimataifa
Hawza/ Mheshimiwa Saira Ibrahim, katika hotuba yake huku akiashiria ushindi wa hivi karibuni walioupata Mapinduzi ya Kiislamu dhidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni, alisema: Hili ni tukio…
-
Imamu wa Ijumaa wa Georgia:
DuniaWatu wa Iran ni alama ya nguvu na heshima ya ulimwengu wa Kiislamu
Hawza/ Hujjatul-Islam Haj Rahid Karim, Imamu wa Ijumaa wa Msikiti wa Ahlul Bayt katika eneo la Soghanliq, mji wa Tbilisi, alisema: Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi anasema: "Sisi ni wenye kudhulumiwa,…
-
Taarifa ya Baraza Kuu la Usalama wa Taifa kuhusu kusitishwa kwa mapigano:
DuniaMarekani na utawala wa Kizayuni wamelazimika kukubali kushindwa
Hawza/ Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, katika taarifa yake kuhusu kulazimisha kusitishwa kwa mapigano kwa utawala wa Kizayuni, likiwahutubu wananchi wakubwa wa Iran, lilieleza kuwa: Kufuatia…
-
Imamu wa Ijumaa wa Msikiti wa Imamu Swādiq (as) nchini Mauritania:
Dunia“Israel ni uvimbe wa saratani unaopaswa kung’olewa; Umoja wa Kiislamu uko juu ya madhehebu.”
Hawzah/ Sheikh Muhammad Faal amesema kuwa; utawala wa Kizayuni si chochote zaidi ya “takataka chafu na uvimbe wa saratani” ambao “unapaswa kung’olewa kabisa kutoka katika ardhi zilizokaliwa kwa…
-
Imamu wa Ijumaa Baghdad:
DuniaWaislamu wote wanapaswa kuwa pamoja na Imam Khamenei
Hawza/ Ayatollah Sayyed Yasin Mousavi, Imam wa Ijumaa Baghdad, ametoa taarifa kali baada ya kauli ya kukera ya Trump mwenye kutenda jinai.
-
DuniaWanafunzi na Wanazuoni wa Jamhuri ya Azerbaijan Wamekanusha wazi wazi Vitisho vilivyo tolewa Dhidi ya Imam Khamenei
Hawza/ Wanafunzi wa Azerbaijan walio katika hawza ya Qom, wameikanusha kwa nguvu zote mashambulizi ya hivi karibuni ya serikali ya ghasbu ya Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, pamoja…
-
DuniaTaarifa ya Baraza la Maulamaa wa Kishia wa Afghanistan kuhusu kuiunga mkono Iran
Hawza / Baraza la Maulamaa wa Kishia wa Afghanistan limetangaza kuwa: Kutoa vitisho dhidi ya kiongozi wa kidini na kiroho wa dini na taifa fulani ni kinyume na mila zote za kimataifa na sheria…
-
DuniaKwa Kususia Bidhaa za Kizayuni na Kimarekani; Waislamu Duniani wanaweza kuvunja Uchumi wa wachochezi wa Vita
Hawza/ Jumuiya ya Mashirika ya Kimataifa imelaani uvamizi uliofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na kutangaza mshikamano wa mataifa yote ya Kiislamu. Imetoa wito…
-
DuniaKwa Mara ya Kwanza; Sheikh wa Al-Azhar Atuma Ujumbe kwa Kifarsi
Hawza/ Ahmad Al-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar, kwa mara ya kwanza amechapisha ujumbe kwenye mtandao wa X (Twitter) kwa lugha ya Kifarsi, akilaani mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na utawala…
-
HawzaHimaya Thabiti kutoka katika Kundi la Maulamaa, Wataalamu, na Walimu wa hawza ya Qum, kwa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Hawza/ Maulamaa, wataalamu na walimu arobaini wa hawza ya Qum, wakilaani mashambulizi ya kikatili yaliyofanywa na utawala dhalimu wa Kizayuni na kuonyesha uungaji mkono wa dhati kwa Kiongozi…