Shahid Kiongozi wa Mapinduzi (82)
-
Mwanazuoni wa Ahlu Sunna kutoka Pakistan:
DuniaKiongozi Shahidi alikuwa anailinda heshima na matukufu ya Uislamu
Hawza/ Mufti Sayyid Ashiq Hussein amesema: “Kiongozi Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei, kwa ustahimilivu na msimamo wake wa kipekee, alitekeleza jukumu la kudumu katika kulinda…
-
Mratibu wa Bunge la Kitaifa la Dini za Kihindi:
Dunia“Khamenei” ni jina lililowakusanya pamoja wanaoitafuta haki kutoka kila pembe ya dunia
Hawza/ Mratibu wa Bunge la Kitaifa la Dini nchini India amesema: “Mapenzi yetu kwa Shahidi Ayatullah al-Udhma Khamenei (ra) yanavuka mipaka ya siasa; yanafafanuliwa kwa kuenzi ubinadamu. Alikuwa…
-
Ayatullah Jawadi A'muli:
DuniaSisi Tunamuunga Mkono Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu/ Wajibu wetu ni kumuunga mkono na kumlinda Kiongozi
Hawza/ Kutoka katika dhana ya "Shahidi" hadi "Mwenye kuuawa (Qatīl)"; Ayatullah Jawa'di Amuli, kupitia ufafanuzi wa matini ya Swala ya maiti iliyoswaliwa kwa ajili ya Kiongozi Shahidi, ameeleza…
-
DuniaMkutano Mkubwa wa Wanazuoni wa Lebanon, Wafanyika kwa Kumuenzi Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei
Hawza/ Nchini Lebanon, hafla kubwa na ya kitaifa iliyoandaliwa kwa ushiriki wa wanazuoni wa dini kutoka madhehebu na makundi mbalimbali imefanyika kwa ajili ya kumuenzi na kutoa rambirambi kufuatia…
-
DuniaHafla ya "Imamu wa Mashahidi" Yafanyika huko Al-Hermel, Lebanon kwa Kumuenzi Imam Khamenei
Hawza / Harakati ya Hizbullah ya Lebanon pamoja na Jumuiya ya Vituo vya Utamaduni vya Imam Khomeini (qs) zimeandaa hafla iliyopewa jina la "Imamu wa Mashahidi" kwa ajili ya kumuenzi Kiongozi…
-
DuniaNouri al-Maliki: Kuhifadhi Kumbukumbu ya Imam Shahidi Khamenei ni Wajibu Wetu kwa Kiongozi Mkuu
Hawza/ Nouri al-Maliki, Mwenyekiti wa Muungano wa Dola ya Sheria wa Iraq, amesisitiza kuwa; kuhifadhi urithi wa Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei na kushiriki katika hafla ya mazishi yake ni wajibu…
-
DuniaKa'dhimayn Yapokea Miili Mitukufu ya Familia ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Hawza/ Mji mtukufu wa Ka'dhimayn nchini Iraq umejawa na hali ya huzuni na majonzi baada ya kupokea miili mitukufu ya familia ya Mtukufu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi…
-
DuniaUshuhuda na Maelezo Maalumu ya Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli kuhusu Imam Shahidi
Hawza/ Hadhrat Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli, wakati wa kuongoza Swala ya maiti juu ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, alitoa muhtasari wa sifa zake za kipekee katika…
-
DuniaUsindikizaji wa Mwili wa Imam Shahidi Khamenei Waanza kutokea Daraja la Kufa, Najaf Ashraf + Picha
Hawza/ Usindikizaji wa mwili wa Imam Shahidi Khamenei umeanza kutokea Daraja la Kufa katika mji wa Najaf Ashraf, ukihudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi.
-
DuniaUmati Mkubwa Wausindikiza Mwili wa Imam Shahidi Khamenei katika Uwanja wa Ndege wa Najaf Ashraf
Hawza/ Umati mkubwa wa watu uliusindikiza mwili wa Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei katika Uwanja wa Ndege wa Najaf Ashraf.
-
DuniaHafla Rasmi ya Kuusindikiza Mwili wa Imam Shahidi Khamenei Yaanza Najaf Ashraf kwa Ushiriki wa Viongozi Wakuu
Hawza/ Hafla rasmi ya mazishi ya mwili wa Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei imeanza katika mji wa Najaf Ashraf, kwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbili.
-
DuniaNajaf na Karbala; Wananchi wa Iraq Washiriki Kwa Wingi katika Hafla ya Kihistoria ya Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Umma
Hawza/ Najaf Ashraf leo imeshuhudia ushiriki mkubwa na wa kipekee wa makundi mbalimbali ya wananchi wa Iraq katika hafla ya kihistoria ya mazishi ya Imam Sayyid Ali Khamenei na familia yake ya…
-
DuniaAyatullah A'rafi Apongeza Ushiriki wa Marajii wa Taqlid, Wanazuoni wa Dini, Hususan Wananchi wa Tehran na Qum katika Mazishi ya Mamilioni ya Kiongozi Shahidi
Hawza/ Mazishi haya ya kihistoria na yasiyo na mfano yaliyofanyika mjini Tehran na Qum yameunda mnyororo wa utukufu wa imani, Muqawama, umoja na ngome imara dhidi ya maadui. Kwa kupata msukumo…
-
DuniaTanzania Yaomboleza Kifo cha Imam Shahidi Khamenei; Kumbukumbu ya Kiongozi Mkuu Yaishi Katika Nyoyo za Waumini
Hawza/ Hafla ya maombolezo ya kumuenzi Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei imefanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Tanzania, huku waombolezaji wakikusanyika kwa ajili ya kuenzi maisha,…
-
DuniaSimulizi ya Luteni Jenerali wa Lebanon Kuhusu Kikao Chake na Kiongozi Shahidi
Hawza/ Kukutana na Imam Sayyid Ali Khamenei daima imekuwa ndoto iliyotawala fikra za watu wengi; si tu kama kukutana na shakhsia ya kidini na kisiasa, bali kama kukutana na Imam mkuu katika uongozi,…
-
DuniaMamilioni ya Wairaq Wajiandaa Kumpokea Kiongozi Shahidi, Imam Khamenei, huko Najaf na Karbala
Hawza/ Kadiri muda wa mazishi ya mwili wa Kiongozi Shahidi, Ayatullah al-Udhma Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei, nchini Iraq uliopangwa kufanyika siku ya Jumatano unavyokaribia, ndivyo maandalizi…
-
DuniaTrump! Utaona kitakachotokea
Hawza/ Bango lililobebwa katika hafla ya kumuaga Kiongozi Shahidi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jijini Tehran, lilimuelekezea maneno haya Trump, anayefahamika kama mcheza kamari: "Utaona kitakachotok…
-
DuniaQum Yatoa Heshima za Mwisho kwa Kiongozi Shahidi wa Umma; Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli Aongoza Swala ya Maiti
Hawza/ Katika mazingira yaliyogubikwa na huzuni, utiifu na mshikamano wa waumini, Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli leo asubuhi ameongoza Swala ya maiti juu ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi…
-
DuniaAyatullah al-Udhma Jawadi Amuli Abusu Kilemba cha Bwana Shahidi
Hawza/ Hadhrat Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli, alipofika karibu na mwili mtukufu wa Shahidi mpendwa, Hadhrat Ayatullah al-Udhma Imam Khamenei (Quddisa Sirruhu ash-Sharif), pamoja na mashahidi…
-
DuniaRipoti ya Dakika kwa Dakika ya Hafla ya Kuaga na Mazishi ya Imam Shahidi Jijini Qom/ Msimamo wa Wanaodai Damu ya Bwana Shahidi + Picha
Hawza/ Hatimaye wakati uliokuwa ukisubiriwa wa ziara ya mwisho ya Bwana Shahidi katika Msikiti Mtukufu wa Jamkaran na kukutana kwa Umma wa Kiislamu na kiongozi wao katika mji wa Bibi Mtukufu…
-
Ayatullah Nouri Hamedani:
DuniaKulipiziwa kisasi kwa wahusika waliomuuwa kishahidi Kiongozi wa Mapinduzi ni jambo la hakika/ Aonya dhidi ya jaribio lolote la kudhoofisha nafasi ya Wilayat al-Faqih
Hawza/ Ayatullah Nouri Hamedani, huku akisisitiza kwamba kulipiziwa kisasi kwa wahusika waliomuuwa kishahidi Kiongozi wa Mapinduzi ni jambo lisilo na shaka, amesema: Lengo kuu na la kwanza la…
-
Katibu wa Kamati ya Kitaifa ya Kuaga na Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi:
DuniaMwili mtukufu wa Imam Shahidi utafika katika Msikiti wa Jamkaran kabla ya Swala ya Alfajiri/ Aomba radhi kwa walioshiriki mazishi mjini Tehran
Hawza/ Ali Akbar Pourjamshidian ametangaza kwamba; miili mitukufu ya Imam Shahidi na familia yake itawasili katika Msikiti Mtukufu wa Jamkaran kabla ya Swala ya Alfajiri ya siku ya Jumanne.
-
Ayatullah A'rafi:
DuniaKushiriki katika Mwamko Mkubwa wa Mazishi ya Imam Shahidi ni Wajibu wa Kisheria na Kiimani/ Asisitiza Umuhimu wa Kudai Kisasi na Kulipiza Damu ya Kiongozi Shahidi
Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, amesema kuwa; kushiriki kwa heshima na kwa wingi katika mwamko mkubwa wa mazishi ya Imam Shahidi ni wajibu wa wazi wa kisheria na kiimani, na amesisitiza ulazima…
-
Ayatullah al-Udhma Makarim Shirazi:
DuniaUmma wa Kiislamu Utekeleze Wajibu Wake wa Kudai Kisasi kwa Ajili ya Kiongozi Shahidi/ Kushikamana na Wilayat Faqihi ni Wajibu/ Asisitiza Ushiriki Mpana katika Mazishi ya Kiongozi Shahidi
Hawza/ Ayatullah al-Udhma Makarim Shirazi, huku akisisitiza wajibu wa Umma wa Kiislamu katika kudai kisasi kwa ajili ya Kiongozi Shahidi, amesema: Wauaji na wahusika wa jinai hii kubwa, ambao…
-
DuniaTehran Yaandika Historia; Mamilioni ya Waumini Wamswalia Kiongozi Shahidi wa Ummah
Hawza/ Jiji la Tehran, mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, limeandika ukurasa mpya wa historia baada ya kushuhudia mamilioni ya waombolezaji wakikusanyika kwa wingi katika ibada ya kumuaga…
-
Sheikh Maher Hamoud:
DuniaMisingi Imara ya Imam Khamenei Haikuwahi Kubadilika
Hawza/ Rais wa Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Muqawama ameelezea kumbukumbu za mikutano na mawasiliano yake kwa njia ya barua na Imam Khamenei, akisimulia hatua mbalimbali zilizowaunganisha…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Najaf Ashraf:
DuniaMazishi ya Kiongozi Shahidi ni Tukio la Kimataifa
Hawza/ Hujjatul Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanchi amesema: “Leo tunashuhudia tukio la kimataifa, nalo ni mazishi ya kiongozi wa mapinduzi makubwa zaidi katika historia ya kisasa.”
-
HawzaAyatullah A'rafi Awataka Wananchi Kukamilisha Jihadi Yao kwa Kushiriki kwa Wingi katika Mazishi ya Kiongozi Shahidi
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran ametoa wito kwa wanaume na wanawake wenye uthubutu na ushujaa, wasomi wa vyuo vikuu, vijana wapendwa, wanazuoni wa dini na wananchi wote wa Jamhuri ya Kiislamu…
-
DuniaAyatullah al-Udhma Jawadi Amuli Ataongoza Swala ya Maiti Juu ya Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Iran Jijini Qum
Hawza/ Kamati ya Habari ya Makao Makuu ya Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu mjini Qum imetangaza kuwa; Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli ataongoza Swala ya Maiti juu ya mwili…
-
Dunia“Labbaik Sayyid Mujtaba”; Kaulimbiu ya Wananchi katika Hafla Kuu ya Kumuaga Kiongozi Shahidi wa Iran
Hawza/ Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa kutegemea misingi halisi ya dini na kuasisi mfumo wa Wilayat al-Faqih, imejenga mkakati wake wa kuunda utambulisho wa taifa juu ya msingi wa uhusiano usiovunjik…