Ayatollah Udhma Jawadi Amoli (12)
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amuli:
HawzaTaifa la Iran halitaachana na heshima na akili
Hawza/ Hazrat Ayatollah Jawadi Amuli katika kikao na wanajumuiya wa kundi la Mu’talifeye Islami alisisitiza kwamba: Sisi ni warithi wa utamaduni na fikra ambazo si tu kwamba zilikuwa ni zenye…
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli:
DiniKuwasamehe wengine ni sababu ya kuleta ridhaa ya Mwenyezi Mungu na humkasirisha Shetani
Hawza/ Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli, akizungumza kwa kuzingatia riwaya kutoka kwa Imam Ali (as), amesema: Muumini hajawahi kumridhisha Mola wake kwa kitu kama kuvumilia, wala hajamkasirisha…
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli:
HawzaImam Khomeini alikuwa ni mchanganyiko kamili wa elimu na matendo
Hawza/ Ayatollah Jawadi Amoli amesema: Imamu Khomeini (ra) alielewa kwa usahihi kila alichokifahamu, na alitenda kwa usahihi kila alichokitenda. Alikuwa ni mtu aliyekusanya kwa ukamilifu kati…
-
HawzaAyatollahil-Udhma Jawadi Amuli: “Elimu, Akili na Malezi” ni nguzo tatu za ukombozi kwa Hawza na Vyuo Vikuu
Hawza/ Ayatollahil-Udhma Jawadi Amuli ametaja nguzo tatu za ukombozi, yaani “Elimu, Akili na Malezi”, kuwa ndio njia ya ustawi wa mtu binafsi na jamii katika hawza na vyuo vikuu katika ulimwengu…
-
DuniaMuqtada Sadr akutana na Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli katika mji mtukufu wa Najaf
Hawza/ Kiongozi wa harakati ya Sadr amemtembelea Ayatollah Abdullah Jawadi Amoli sehemu aliyo fikia huko mjini Najaf al-Ashraf na kufanya naye mazungumzo.
-
HawzaAyatollah al-Udhma Jawadi Amoli akutana na Ayatollah al-Udhma Sistani huko Najaf Ashraf
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli alifanikiwa kufika katika makazi ya Ayatollah al-Udhma Sistani katika mji mtukufu wa Najaf, na kukutana na yeye kwa ajili ya kufanya mazungumzo naye.
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amuli:
HawzaKuendelezwa elimu za kiakili katika Hawza ni miongoni mwa masuala aliyoyapa umuhimu mkubwa marehemu Ayatollah al-Udhma Hairi / kuzamia katika bahari ya Qur'ani na Ahlul-Bayt ndiyo risala ya Hawza
Kiongozi wa juu wa kidini na mfasiri maarufu wa Qur’ani Tukufu, huku akisisitiza kuwa kuzama katika bahari kuu ya Qur’ani na Ahlul-Bayt ni risala ya Hawza, alisema: Marehemu Ayatollah al-Udhma…
-
Ayatollahil-‘Udhmaa Jawadi Amuli:
HawzaWanazuoni wakubwa wamechukua baraka za elimu walizonazo na uchamungu kutoka kwa Hadhrat Ma‘suma (s.a)
Haramu ya Hadhrat Ma‘suma ni haramu yenye rehema na fadhila, wanazuoni wakubwa wameusia kwamba muwapo Qum, muanze kwa kutawasali kutoka kwa bi bi Hadhrat Ma‘suma (s.a).
-
Ayatullah al-‘Udhma Jawadi Amuli:
DiniMtu akienda makaburini kisha akarejea bila ya kujifunza chochote, hiyo ni hasara
Hadhrat Ayatullah Jawadi amesema: Je! Mtu anaena makaburini kwa ajili ya kuwaombea maghfira (msamaha) wazazi wake, au kwa ajili na yeye mwenyewe kujifunza jambo fulani?
-
DiniAyatollah al-udhma Jawadi Amuli ameuliza: Je! Ziara ya Amirul mu’uminin (a.s.) ni bora zaidi au ziara Imamu Hussein (a.s.)?
Hadhrat Ayatollah al-udhma Jawadi Amuli, kwa kurejea riwaya kutoka kwa Imamu Kadhim (a.s.), ameeleza bayana: Imamu alisema, "Yeyote atakayekubali wilaya ya wa kwanza miongoni mwetu, amekubali…
-
Ayatollah Al-Udhma Jawadi Amoli:
DiniKama hatutakuwa na mvuto wa kiroho, maneno yetu hayataathiri jamii
Hadhrat Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli amesema: Mtoa mawaidha ni yule mtu ambae amekomaa kiroho, mahiri, maneno yake yana mvuto unaowafanya watu wavutiwe naye.
-
Ayatollah Udhma Jawadi Amoli:
DiniJe! ni dhikri ipi iliyo na athari zaidi kuliko dhikri nyingine zote?
Hadhrat Ayatollah Jawadi Amoli aliweka wazi kwa kusema: Mnaweza kuwa mmewahi kusikia mara kwa mara kwamba kuna baadhi ya watu wanatafuta dhikri huku wakijiuliza: " Je! Ni dhikri ipi tuisome ili…