Lebanon (5)
-
DuniaMjumbe wa Kambi ya Muqawama amelaani kitendo cha serikali ya Lebanon cha kukabidhi mfungwa wa Kizayuni bila kupata faida yoyote
Hawzah/ Ibrahim al-Mousawi amesema: Sisi, kama Walebanoni, tumeshangazwa na tangazo la adui Mzayuni kuhusu kukabidhiwa kwake Mzayuni mmoja na maafisa wa Kilebanoni huku makabidhiano hayo yakifaidisha…
-
Makamu wa Rais wa Baraza Kuu la Kishia la Lebanon:
DuniaYanayojiri nchini Syria ni hatari sana kwa Syria na kwa ukanda wote
Hawza / Sheikh Ali al-Khatib amegusia matukio ya hivi karibuni nchini Lebanon na katika eneo zima, hasa yanayoendelea Syria, na kusema: Yanayojiri nchini Syria ni hatari sana kwa Syria na kwa…
-
DuniaMkutano wa wanazuoni wa Kishia katika Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon kuonesha mshikamano wao na Iran
Hawza/ Wanazuoni wameitikia wito wa Naibu Raisi wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon kwa ajili ya mkutano huu.
-
Makamu wa Rais wa Baraza kuu la Shia nchini Lebanon:
DuniaImam Khomeini alianzisha harakati kubwa zaidi ya mapinduzi harakati ambayo mafundisho yake yamechukuliwa kutoka katika kina cha uislamu
Hawza/ Sheikh Ali al-Khatib amesema: Tumempoteza Imam Khomeini (r.h), ambaye haiba yake iliambatana na ujasiri na kujitolea, na mwangaza wake uliangaza kote ulimwenguni.
-
DuniaMwanazuoni wa kisuni Lebanon ashangazwa na msimamo wa wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo; Lebanon Haitakuwa Makazi ya Wazayuni
Sheikh Ahmad al-Qattan ameeleza kushangazwa kwake na hatua iliyo chukuliwa na wizara ya mambo ya nje ya Lebanon kwa kumuita balozi wa Iran, na akasema: Balozi wa Iran anatetea uwezo wa Lebanon.