Jumamosi 1 Machi 2025 - 08:50
Jiepushe na talaka

Oeni wala msitaliki, kwani hakika talaka inatikisha arshi ya Mwenyezi Mungu.

Shirika la Habari la HawzaMtume (s.a.w.w) amesema:

«تَزَوَّجُوا وَ لاَ تُطَلِّقُوا فَإِنَّ اَلطَّلاَقَ يَهْتَزُّ مِنْهُ اَلْعَرْشُ.»

"Oeni wala msitaliki, kwani hakika talaka inatikisha arshi ya Mwenyezi Mungu."

Wasail al-Shiah, Jz 22, uk 8

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha