Mashia Bahrain (76)
-
Ayatullah Qa'sim:
DuniaSerikali ya Bahrain inapuuzia Sheria ya Mwenyezi Mungu Mtukufu
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain, katika taarifa yake amelaani maamuzi ya utawala wa Khalifa ambayo yanaweka vikwazo kwa baadhi ya sifa na taratibu za madhehebu ya Shia.
-
Uongozi wa Husseiniya za Bahrain:
DuniaHatua za serikali zinalenga uhuru wa kutekeleza ibada za kidini za Mashia
Hawza/ Uongozi wa Husseiniya nchini Bahrain umelaani hatua iliyotolewa na taasisi rasmi inayowataka makhatibu, waimbaji na waombolezaji kupata vibali vya awali kabla ya kushiriki katika shughuli…
-
Wanazuoni wa Bahrain:
DuniaTunatahadharisha kwamba Serekali Imechukua Njia ya Kuipinga Dini
Hawzah/ Wanazuoni wa Bahrain wametoa taarifa ya pamoja, wakiuonya utawala wa Al Khalifa kuhusu njia ya ambayo umeichukua kupinga dini.
-
DuniaBahrain yaendelea kuwafunga wanazuoni wa Kishia kwa lengo la kuufuta Ushia nchini humo
Hawzah/ Mahakama ya Bahrain imemhukumu Sheikh Abdulnabi Al-Nashaba, mwanazuoni wa dini wa Kishia, kifungo cha mwaka mmoja.
-
Vikosi vya Mapinduzi ya Bahrain:
DuniaWatawala wa Bahrain wameamua kuanzisha vita vya kuwafukuza Mashia
Hawzah/ Vikosi vya Mapinduzi ya Bahrain, katika taarifa ya pamoja, vimelaani mashauri yasiyo ya haki dhidi ya maulama wakuu wa dini pamoja na tuhuma za kubuniwa zinazowakabili.
-
DuniaJumuiya ya Al-Wefaq ya Bahrain yalaani hila mpya za mtawala wa Bahrain za kuwakandamiza Mashia
Hawzah/ Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya Al-Wefaq ya Bahrain imelaani uamuzi wa Wizara ya Sheria unaohusiana na kupanga upya vibali vya kutoa mawaidha, kuongoza dini, kutoa hotuba na kusoma…
-
Viongozi wa Mapinduzi ya Kitaifa ya Bahrain:
DuniaKuwafunga maulama kwa kesi za maonesho ni dhuluma ya wazi dhidi yao, dini na nchi
Hawzah/ Maulama wa dini na viongozi wa Mapinduzi ya Kitaifa ya Bahrain wamesisitiza kwamba: Maulama wenye heshima na waumini nchini Bahrain hawajafanya kosa lolote, isipokuwa kusema: “Mola wetu…
-
DuniaMuungano wa Wanamapinduzi wa Bahrain Watahadharisha Kuhusu Kunyimwa Haki Mashia
Hawzah/ Muungano wa Mapinduzi ya Februari 14 wa Bahrain umetangaza katika taarifa yake kwamba: Wananchi wa Bahrain hawatakubali mpango wa mauaji ya kimbari na kuhalalisha uhusiano na Israel,…
-
DuniaVita vipya vya Bahrain dhidi ya itikadi za Kishia; kamati maalumu zaundwa kudhibiti mimbari na mikusanyiko ya kidini
Hawzah/ Wizara ya Sheria ya Bahrain, katika kuendeleza unyanyasaji dhidi ya Mashia wa Bahrain, imezidisha vikwazo dhidi ya ibada na itikadi za Mashia.
-
Kituo cha Haki za Binadamu Bahrain Chatoa Onyo:
DuniaBila kukomesha vyombo vya ukandamizaji, mageuzi ya kweli yatabakia kuwa ni kauli tupu
Hawzah/ Kituo cha Haki za Binadamu Bahrain kimezitaka mamlaka kuchukua hatua za haraka za kuacha “kuwateka na kuwatesa watu” na kuwafikisha mbele ya sheria wale wanaohusika na uhalifu wa mateso.
-
DuniaSimulizi ya Bahrain kuhusu Kushtakiwa Mashia kwa Msingi wa Itikadi Yao
Hawza/ Ripoti za hivi karibuni kutoka Bahrain zinaonesha kwamba hatua za kisheria na kiusalama dhidi ya wanazuoni wa dini, makhatibu na taasisi za kidini zimevuka hatua ya kushughulikia kesi…
-
Jumuiya ya Al-Wifaq Bahrain:
DuniaAmri Mpya ya Kifalme Yaendeleza Mfumo wa Kiusalama na Kipolisi Nchini Humo
Hawza/ Kwa kutolewa kwa amri mpya ya Mfalme wa Bahrain, kwa mara nyingine tena kivuli cha sera za kipolisi kimezidi kutanda katika muundo wa kiutawala wa nchi hiyo. Jumuiya ya Al-Wifaq katika…
-
Mwaka wa Tano wa Mgomo wa Chakula:
DuniaMashirika ya Kimataifa Yataka Dkt. Abduljalil al-Singace Aachiwe Mara Moja kutoka Gerezani Bahrain
Hawza/ Shirika la “Scholars at Risk” (Wasomi Walio Hatarini) limewataka viongozi wa Bahrain kumwachilia mara moja na bila masharti mwanataaluma aliyefungwa, Dkt. Abduljalil al-Singace.
-
DuniaRipoti ya Shirika la Salaam, Kuielekea Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu Kuhusu Ukiukaji Mkubwa wa Haki za Mashia Unaofanywa na Serikali ya Bahrain
Hawza/ Shirika la “Salaam” la Demokrasia na Haki za Binadamu limewasilisha malalamiko kwa Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, likieleza kuwa Serekali ya Bahrain kwa sasa imekuwa ikikeuka…
-
DuniaKhatibu Mashuhuri wa Kishia Nchini Bahrain Akamatwa; Kisingizio cha Usalama au Kukabiliana na Mimbari za Kidini?
Hawza/ Hakuna akaunti yoyote au jukwaa lolote la habari linalounga mkono na kuhusishwa na serikali nchini Bahrain ambalo halijachapisha tena habari za kukamatwa kwa mhubiri wa Husaini, “Sheikh…
-
DuniaUjumbe Muhimu wa Ayatullah Issa Qasim Kuhusu Malengo Mabaya ya Marekani
Hawza/ Ayatullah Sheikh Issa Qasim, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain, amelaani sera za Marekani na Rais wake, “Donald Trump”, za kuilazimisha dunia kujisalimisha na kuwa mtiifu kikamilifu.
-
DuniaSheikh Adel Al-Shu'la Atahadharisha Kuhusu Utendaji wa Vyombo vya Usalama na Mahakama za Bahrain Dhidi ya Mashia
Sheikh Adel Al-Shu'la, miongoni mwa wanazuoni wa Kishia nchini Bahrain, katika hotuba yake alitoa wito wa kuwa na kiwango cha juu kabisa cha uangalifu na tahadhari dhidi ya kile alichokiita “utawala…
-
DuniaUmoja wa Ulaya Watoa Onyo kwa Bahrain
Hawza/ Umoja wa Ulaya, katika ripoti yake ya kila mwaka kuhusu haki za binadamu, umeonya kuhusu kuendelea kuzorota kwa hali ya kisheria na kisiasa nchini Bahrain.
-
Wanazuoni wa Bahrain:
DuniaWananchi wa Bahrain Wamefelisha Matusi na Mipango ya Kuondoa Maudhui ya Ibada za Kidini
Hawzah/ Wanazuoni wa Bahrain wamesema: Kuhuisha alama na ibada za Mtukufu Sayyid al-Shuhadaa, Abu Abdillah al-Hussein (as), Ahlu al-Bayt wake na Maswahaba wake wenye nyoyo safi, ni heshima isiyotengan…
-
Dunia“Jumuiya ya Al-Wifaq Bahrain” Yataka Kuachiliwa Wanazuoni na Wafungwa na Kusitishwa Hatua za Kiusalama Dhidi ya Raia wa Kishia
Hawza/ Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya Al-Wifaq ya Bahrain imetaka kupitiwa makubaliano ya kijeshi na kiusalama kati ya Ufalme wa Bahrain na madola ya kigeni, pamoja na kufanyika mageuzi ya…
-
Bahrain:
DuniaWananchi Waandamana Kulaani Vita Rasmi Dhidi ya Mashia
Hawza/ Mamluki na wanamgambo wanaohusishwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bahrain, kwa kuweka mzingiro mkali wa kiusalama, wamezuia kufanyika kwa Swala ya Ijumaa kwa Mashia wa Bahrain kwa wiki…
-
Taasisi ya Utafiti ya Italia:
DuniaMgawanyiko wa Kijamii na Kimadhehebu Waongezeka Bahrain Baada ya Vita vya Kikanda
Hawza/ Taasisi ya Italia ya Uchambuzi wa Mahusiano ya Kimataifa imesema: Bahrain huenda ikaelekea kupitisha sera yenye mtazamo wa kutokuwa na upande zaidi kuielekea Iran, katika jitihada za kuendana…
-
Ukandamizaji Mkali Waendelea Bahrain:
DuniaMashia Wakamatwa Kisa Kuomboleza Kuuwawa Kishahad Imam Ridha (as)
Hawza/ Mamlaka za usalama za Bahrain katika wiki za hivi karibuni zimekamata makumi ya raia wa Kishia, wakiwemo baadhi ya wanazuoni na waombolezaji wa kidini.
-
Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Bahrain Yatoa Tahadhari:
DuniaKuongezeka kwa Mfumo wa Kuwakandamiza Mashia Bahrain; Kuanzia Kufungwa kwa Husainiya 50 Hadi Kukamatwa kwa Wanazuoni wa Dini
Hawza/ Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Bahrain imeitaka Serikali ya Bahrain kusitisha mara moja hatua na vikwazo vyote vilivyowekwa dhidi ya uhuishaji wa alama za kidini na misafara ya maombolezo.
-
DuniaWanazuoni wa Bahrain Wajibu Kauli za Kipuuzi za Mtawala wa Nchi Hiyo Kuhusu Iran
Hawzah/ Mtu anayesema kwamba Umma mmoja una ubora juu ya Umma mwingine katika msingi wa dini hii ni mjinga, au anajifanya mjinga; kwa sababu fadhila zote ni za Mwenyezi Mungu, na kujiona bora…
-
DuniaOfisi ya Mwendesha Mashtaka ya Umma ya Bahrain Imefikia Kilele cha Uadui na Chuki Dhidi ya Mashia
Hawza/ Mkuu wa ofisi ya mwendesha mashtaka ya umma nchini Bahrain ametangaza kuwa; ofisi hiyo imeanza mchakato wa kukata rufaa dhidi ya hukumu iliyomtangaza Sheikh Ahmad Isa Al-Haiki, mwanazuoni…
-
Sheikh Adel Al-Shaala:
DuniaKuweka sharti la kupata kibali cha serikali ya Bahrain ili kuwazuru Maimamu (as) ni miongoni mwa makatazo makubwa kabisa
Hawza/ Sheikh Adel Al-Shaala, mwanazuoni wa Kishia wa Bahrain, amesisitiza kwamba; ibada ya kuwazuru Maimamu Maasumina (as) si kama hukumu nyingine za kisheria, bali ni miongoni mwa alama na…
-
Chama cha Haki za Binadamu cha Bahrain:
DuniaViongozi wa Bahrain hawazingatii sheria zozote za kimataifa
Hawza/ Chama cha Haki za Binadamu cha Bahrain kimesisitiza kuendelea kwa kile kilichokitaja kuwa ni sera ya makusudi ya mamlaka ya nchi hiyo ya kuwavunjia heshima maulamaa wa Kishia waliokamatwa,…
-
DuniaHatua mpya za vyombo vya usalama vya Bahrain dhidi ya Maulamaa wa Kishia zafichuliwa
Hawza/ Shirika la Salam la Demokrasia na Haki za Binadamu nchini Bahrain limesikitishwa na kulaani ukiukaji wa haki za binadamu pamoja na vitendo visivyofaa vilivyofanywa dhidi ya idadi ya maulamaa…
-
Muungano wa Vijana wa Mapinduzi wa Bahrain:
DuniaWananchi wa Bahrain wabebe jukumu la kumsimamisha mtawala wa Bahrain!
Hawza/ Muungano wa Vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 nchini Bahrain umeionya tena serikali ya Aal Khalifa kwamba; kuendelea kutegemea nguvu za uvamizi na uharibifu zinazoongozwa na watu wanaowataja…