Jinai za Israeli Dhidi ya Lebanon (55)
-
DuniaViongozi wa Harakati ya Amal na Hizbullah wathibitisha umuhimu wa ushiriki wa kitaifa na ulazima wa Serikali ya Lebanon kubeba majukumu
Hawza/ Viongozi wa Hizbullah na Harakati ya Amal wamefanya mkutano ambapo walijadili maendeleo na matukio ya hivi karibuni nchini Lebanon.
-
DuniaSheikh Al-Khatib Atahadharisha Kuhusiana na Kunyang’anywa Silaha Muqawama Chini ya Kuvuli cha Wavamizi
Hawzah/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia nchini Lebanon, Sheikh Ali Al-Khatib, ameeleza kuhusu mwaliko wa Rais wa Lebanon wa kuandaliwa mazungumzo mapana ya kitaifa yatakayowakutan…
-
Sheikh Zuhair Ja‘id:
DuniaAmani Isiyojengwa Juu ya Uadilifu na Mazungumzo Yasiyofuata Misingi Haina Maana
Hawzah/ Mratibu Mkuu wa “Jabhatu al-‘Amal al-Islami nchini Lebanon”, amesema: Migogoro ambayo dunia inashuhudia leo haiishii tu katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kiusalama, bali kabla ya…
-
Hizbullah:
DuniaMisimamo Rasmi ya Hizbullah Hutolewa Kupitia Katibu Mkuu na Taarifa Rasmi
Hawza/ Idara ya Mahusiano ya Vyombo vya Habari ya Hizbullah imetangaza kwamba: Kauli yoyote isiyo rasmi inapaswa kuchukuliwa kuwa ni maoni binafsi; misimamo yetu hutangazwa tu kupitia Katibu…
-
Sheikh Al-Khatib Baada ya Kurejea Lebanon:
DuniaViongozi wa Iran na Iraq Wapo Tayari Kusaidia Lebanon na Kusini Mwake
Hawza/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Shia la Lebanon, baada ya ziara ya siku 11 nchini Iran na Iraq, amesisitiza utayari kamili wa viongozi wa Iran na Iraq wa kutoa msaada wa…
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
DuniaKusini Mwa Lebanon ni Nguzo Muhimu Zaidi ya Muundo wa Mfumo wa Utawala;Serikali Isiyoilinda Imeiuza Nchi
Hawza/ Sheikh Ahmad Qabalan, Mufti Mashuhuri wa Jaafari, akimuelekea Rais wa Lebanon amesema: “Uwezekano wa mgawanyiko wa ndani umefikia kiwango cha juu kabisa, na wewe una wajibu wa kuzuia kusambarat…
-
Mjumbe wa Baraza Kuu la Hizbullah:
DuniaImam Musa Sadr Alikuwa Mlinganiaji wa Haki na Umoja; Sisi Bado Tupo Juu ya Ahadi Ile Ile
Hawzah/ Sheikh Hassan al-Baghdadi, mjumbe wa Baraza Kuu la Hizbullah, amesema katika maadhimisho ya kutekwa kwa Imam Musa Sadr na wenzake kwamba katika kumbukumbu hii, ni lazima tufanye upya…
-
DuniaWanazuoni wa Baalbek Wasisitiza Umuhimu wa Mshikamano na Mhimili wa Muqawama Dhidi ya Miradi ya Kizayuni
Hawza/ “Harakati ya Utamaduni wa Kuunga Mkono Muqawama” na “Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon” zimeendesha hafla katika mji wa Baalbek kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa…
-
Sheikh Naim Qassim:
DuniaSerekali ya Lebanon Imechagua Njia Ambayo Si ya Heshima Kwake Wala Si ya Fahari kwa Lebanon
Hawza/ Sheikh Naim Qassem, Katibu Mkuu wa Hizbullah, alisisitiza: Mtume wetu, Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), ni Mtume wa watu walio huru; watu hao walio huru ambao hufungua akili na nyoyo zao zilizo…
-
Dunia“Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu” Yaadhimisha Kumbukumbu ya Kuuwawa Hujaatul-Islam Sayyid Abbas al-Mousawi kwa Kufanya Mkutano Kuhusu “Mtazamo wa Qur’ani katika Fikra Zake”
Hawza/ “Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu ya Lebanon” imeadhimisha kumbukumbu ya kwanza ya kuuwawa Hujaatul-Islam Sayyid Abbas Ali al-Mousawi kwa kuendesha kikao kilikuwa na anuani “Mtazamo wa…
-
DuniaAyatullah Al-Udhma Sistani Aanzisha Mpango wa Kuwasaidia Yatima wa Lebanon Walioathiriwa na Vita
Hawzah/ Ofisi ya Ayatullah Sistani nchini Lebanon imetangaza mpango wa kuwasaidia yatima walioathiriwa na vita katika nchi hiyo.
-
DuniaMashambulizi ya Kikatili ya Utawala wa Kizayuni Dhidi ya Lebanon Yaendelea
Hawzah/ Adui wa Kizayuni ameendelea na mashambulizi yake dhidi ya kusini mwa Lebanon na kukiuka mamlaka na uhuru wa nchi hiyo, kupitia mashambulizi ya anga, operesheni za kulipua na kuchoma moto…
-
DuniaKiongozi wa Druze wa Lebanon: Hatuwezi tukawa na amani pamoja na adui mporaji
Hawza/ Sheikh Sami Abi al-Muna alisisitiza kuwa: Njia pekee ya kuliokoa taifa ni watu kuwa kitu kimoja, katika kukabiliana na uchokozi wa wazi ambao haujali kabisa maazimio ya kimataifa wala…
-
Taarifa ya “Mkutano Pamoja kwa Ajili ya Ubinadamu nchini Lebanon”:
DuniaKuanzisha Mahusiano ya Kawaida na Israel Haiwezekani na Ni Tishio kwa Uwepo wa Lebanon
Hawza/ Katika juhudi za kufungua nafasi ya kitaifa na jumuishi inayovuka tofauti za kimadhehebu na kidini, ulifanyika Mkutano wa Pamoja kwa Ajili ya Ubinadamu nchini Lebanon.
-
Rais wa zamani wa Chama cha Kataeb cha Lebanon:
DuniaMazungumzo chini ya mashambulizi hayakubaliki; viongozi wanapaswa kuupitia upya mwenendo wao
Hawza/ Katika hali ya kuongezeka mashambulizi ya adui wa Kizayuni dhidi ya Lebanon, hususan katika miji ya Ansar na Deir al-Zahrani, maswali kuhusu manufaa ya kuendelea kwa mazungumzo yameongezeka.
-
Naibu Spika wa zamani wa Bunge la Lebanon:
DuniaUtawala vamizi unalenga kuidhalilisha Lebanon na kupiga pigo dhidi ya umoja wa kitaifa
Hawza/ Adui mhalifu wa Kizayuni anaendelea na uchokozi wake dhidi ya Lebanon, ardhi yake na watu wake, na ametenda mauaji mawili katika miji miwili ya Ansar na Deir al-Zahrani.
-
Baraza la Wanazuoni wa Beirut:
DuniaTokeni katika kile mnachokiita “mazungumzo” na simameni pamoja na watu wenu
Hawza/ Baraza la Wanazuoni wa Beirut limetangaza kwamba: Adui wa Kizayuni kusini mwa Lebanon ametenda mauaji ya kutisha dhidi ya raia wasio na hatia, wakiwemo wanawake na watoto, ili kuongeza…
-
Barua ya Sheikh Ahmad Qabalan kwa Rais wa Lebanon:
DuniaSuluhisho liko katika makubaliano ya kitaifa, si katika kuitegemea Washington na Tel Aviv
Hawza/ Mufti Mkuu wa Jaafari na mwanazuoni wa Kishia nchini Lebanon, katika barua yake ya wazi kwa Rais wa Lebanon, alisema: Kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu namwambia Rais: Kila kinachotokea…
-
Jumuiya ya Familia za Mashahidi Watoto wa Lebanon:
DuniaSerikali ya Lebanon ndiyo inapaswa kulaumiwa juu ya mauaji ya watoto na raia wasio wanajeshi
Hawza/ “Jumuiya ya Familia za Mashahidi Watoto wa Lebanon” imelaani mauaji mapya yaliyofanywa na jeshi la uvamizi la Israel dhidi ya familia moja katika mji wa Ansar, kusini mwa Lebanon.
-
Mkusanyiko wa Wanazuoni wa Kiislamu Lebanon:
DuniaHakuna Maendeleo Yatakayopatikana Katika Mchakato wa Israel Kujiondoa
Hawza/ Muungano wa “Wanazuoni wa Kiislamu” wa Lebanon umesema: Katika hali ya kuendelea mfululizo wa mashambulizi ya adui wa Kizayuni kupitia mashambulizi ya mizinga na ya anga dhidi ya Lebanon,…
-
Sheikh Naim Qassem:
DuniaMuqawama Unaelekea Kwenye Chaguo Zake, Na Yeyote Anayetegemea Kujisalimisha Ameegemea Kwenye Sarabi (Mazigazi)
Hawza/ Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem, katika maadhimisho ya miaka 20 ya ushindi katika Vita vya Siku 33, huku akisisitiza kwamba Muqawama una uwezo wa kubadilisha mlingano wa nguvu,…
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
DuniaMuqawama na Jeshi ni nguzo za mamlaka ya kitaifa; bila Jeshi na Muqawama, Lebanon haina mustakabali
Hawza/ Sheikh Ahmad Qabalan, Mufti Mashuhuri wa Jaafaria, amesema: “Muqawama na Jeshi katika uwanja huu ni mtaji wa mamlaka ya kitaifa, na bila Jeshi na Muqawama, hakuna mustakabali kwa Lebanon,…
-
Mjumbe wa Hizbullah:
DuniaMuqawama utaendelea kuwa kisu katika kifua cha kila dhalimu na mvamizi
Hawzah/ Hujjatul-Islam Sayyid Shukr amesisitiza kwamba; Muqawama utaendelea kuwa kisu katika kifua cha kila dhalimu na mvamizi; wale walioikomboa Kusini wanaweza kuikomboa tena.
-
Sheikh Ali Al-Khatib:
DuniaWanataka kuuangamiza Muqawama; kujisalimisha kwetu kutatupeleka kwenye maangamizi
Hawzah/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia nchini Lebanon amesisitiza kwamba; wanachotaka kwetu ni kujisalimisha, na akaeleza kuwa kuna njama ya ndani na ya kimataifa inayolenga…
-
DuniaOmbi la Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon kwa Serikali ya Nchi Hiyo
Hawzah/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon ameiomba serekali ya Lebanon, kutokana na mkwamo uliopo katika mazungumzo na kushindwa kwa chaguo zake, kufungua milango…
-
Mbunge wa Kambi ya Muqawama:
Dunia“Makubaliano ya Kimfumo” Hayana Manufaa kwa Lebanon
Hawzah/ Hussein Jashi amesema: “Makubaliano ya Kimfumo” hayana manufaa kwa Lebanon, kwa sababu hayajabadilisha mwelekeo wa mapambano dhidi ya adui Mzayuni.
-
Mufti wa Sur na Jabal Amil:
DuniaTunaendelea kutenda kwa mujibu wa fikra na njia ya Imam Musa Sadr ili Lebanon iendelee kubaki kuwa taifa la mwisho kwa watoto wake wote
Hawza/ Harakati ya Amal ya Lebanon kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein (as) na siku ya tatu ya shahada ya Hussein Yasin Ibrahim, iliandaa hafla kubwa katika Husseiniyya ya mji wa Toulin.
-
Sheikh Al-Juaid:
DuniaMaridhiano kati ya Syria na Hizbullah ni hatua yenye baraka katika njia ya umoja wa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Mratibu Mkuu wa Mhimili wa Harakati ya Kiislamu nchini Lebanon, huku akirejea Aya Tukufu isemayo: «وَاعْتَصِمُوا بِحَبْلِ اللَّهِ جَمِيعًا وَلَا تَفَرَّقُوا», ameashiria dalili za kukaribiana…
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
DuniaBila ya Kusini Lebanon na watu wake, serikali itakuwa dhaifu, isiyo imara na isiyo na uhalali
Hawza/ Mufti Mkuu wa Jaafaria nchini Lebanon amesisitiza kuwa; serikali ambayo haishiriki Kusini mwa Lebanon na wananchi wake itabaki kuwa serikali dhaifu, isiyo imara, isiyo na uzito wa kisiasa…
-
DuniaErdoğan: Israel inatenda uhalifu dhidi ya ubinadamu
Hawza/ Rais wa Uturuki amelaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon, akiutuhumu utawala huo kwa kutenda uhalifu dhidi ya ubinadamu na kusisitiza kuwa; Ankara itaendelea kutoa uungaji mkono…