Ghaza (23)
-
DuniaMaelfu ya Wazayuni waandamana kulalamikia kushindwa kwa Netanyahu kuwaokoa mateka
Hawza/ Makumi ya maelfu ya Wazayuni waliandamana kupinga hali yao ya sasa na kushindwa kwa serikali yao kuwaokoa mateka walioko katika Ukanda wa Ghaza.
-
DuniaNyota wa Soka wa Tunisia wajiunga na safu ya wanao ikingia kifua Ghaza
Hawza/ Nyota wa soka wa Tunisia pia wamejiunga na kampeni ya kulaani utawala wa Kizayuni wa Israel na kuwatetea watu wa Ghaza wanaodhulumiwa.
-
Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti:
DuniaSoko haramu la tiketi za ndege kwa ajili ya kuikimbia Israel
Hawza/ Idadi ya Wazayuni wanaojaribu kukimbia kutoka Palestina iliyokaliwa kwa mabavu imeongezeka kwa kiwango kikubwa. Hata hivyo, kutokana na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen, mashirika…
-
Pendekezo la Mwenyekiti wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan kuhusu Siku ya Kimataifa ya Wazazi:
DuniaDunia haisikii sauti ya wazazi waliopoteza watoto wao huko Ghaza
Hawza/ Hujjat al-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Wazazi, amependekeza siku hii ipewe jina la wazazi wa watoto walio dhulumiwa…
-
DuniaMwenyekiti wa Jumuiya ya Kisheria ya Waislamu wa Kishia wa Jammu na Kashmir apinga vikali ukimya wa jumuiya ya kimataifa kuhusiana na janga la kibinadamu la Ghaza
Hujjatul-Islam Sayyid Hassan Mousawi Safawi, katika hotuba yake, alilaani vikali uhalifu unaofanywa na Israel huko Ghaza, na akasema kuwa dunia kukaa kimya mbele ya janga hili la kibinadamu haikubalik…
-
DuniaPapa Leo wa Kumi na Nne Atoa Wito wa Kusitishwa Mapigano Mara Moja huko Ghaza
Hawza/ Papa Leo wa Kumi na Nne, katika hotuba yake ya hivi karibuni, kwa mara nyingine ametoa wito wa kusitishwa mapigano mara moja huko Ghaza na kuachiliwa huru kwa wafungwa wote.
-
DuniaUingereza kinyume na kauli zake bado inaendelea kuwauzia Israeli Silaha!
Hawza/ Maelfu ya waandamanaji wa Uingereza katika matembezi makubwa, waliitaka serikali kuacha kueneza kauli zisizo na vitendo na kusitisha mauzo ya silaha kwa Israel, hasa vipuri vya ndege ya…
-
DuniaViongozi na Taasisi za Kiislamu Uingereza Wamemtaka Waziri Mkuu Kusitisha Mazungumzo ya Kibiashara na Israel
Hawzah/ Viongozi na taasisi za Kiislamu nchini Uingereza wametaka kusitishwa kwa mazungumzo ya kibiashara kati ya Uingereza na Israel, na katika barua ya pamoja kwa Waziri Mkuu, wameelezea hali…
-
DuniaMitaa ya Lahaia yazingirwa na wapinzani dhidi ya vita
Hawza/ Waandamanaji waliovaa mavazi mekundu waliandamana siku ya Jumapili katika mji mkuu wa Uholanzi kwa lengo la kuitaka serikali yao kusitisha utekelezaji wa mikataba ya kibiashara na utawala…
-
HawzaMaandamano makubwa yafanyika: Takriban Nusu Milioni ya watu Jijini London waandamana kwa Ajili ya Kuiunga Mkono Palestina
Hawzah/ zaidi ya watu nusu milioni walijitokeza mitaani jijini London kuonesha kuwa wanaitaka serikali yao kusitisha kushiriki katika mauaji ya kimbari dhidi ya watu wasio na ulinzi huko Ghaza.
-
DuniaZakariya al-Sinwar, ndugu wa Shahidi Yahya al-Sinwar, auwawa kishahidi katika kambi ya al-Nusairat.
Hawza/ Zakariya al-Sinwar, ndugu yake Yahya al-Sinwar, ameuawa kishahidi pamoja na wanawe watatu katika shambulio lililo fanywa na utawala wa Kizayuni kwenye kambi ya al-Nusairat katikati mwa…
-
DuniaRais wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Pakistan: Ukombozi wa Quds ni ahadi ya Mwenyezi Mungu
Hawza/ Katika kumbukumbu ya siku ya kukaliwa kimabavu kwa mji mtakatifu wa Quds, Seneta Raja Nasir Abbas Jafari, katika tamko alilolitoa, amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni na…
-
DuniaNjaa na ukame huko Ghaza ni ishara ya ukosefu wa maadili ya kibinadamu duniani
Hawza/ Mgogoro wa Ghaza ni janga la kibinadamu ambalo athari zake mbaya zinawakumba watu wa tabaka lote, lakini mzigo mkubwa zaidi unabebwa na watoto. Mzigo huu unavunja mifupa yao, kwa hakika,…
-
DuniaRais wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan: Israeli ni utawala wa kimabavu, usio halali na ni tishio kwa amani ya dunia
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kwenye mnasaba wa Siku ya Nakba (15 Mei), amelieleza utawala wa Kizayuni kuwa ni utawala wa kunyang’anya kwa nguvu…
-
DuniaPingamizi kutoka kwenye Familia za Mateka wa Kizayuni dhidi ya Netanyahu: Malizeni Vita
Familia za mateka wa utawala batili wa Kizayuni kupitia maandamano, walidai kuachiliwa kwa mateka hao na kusema: "Hatuafikiani na kauli za Netanyahu zinazopendelea kuendelezwa kwa vita badala…
-
DuniaKamata kamata ya kimabavu kati ya Polisi wa Uholanzi dhidi ya waandamanaji wanaopinga Vita dhidi ya Ghaza
Waandamanaji waliokuwa wakionesha upinzani wao dhidi ya vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel na waliokuwa wakitaka serikali ya Uholanzi isifungamane na utawala huo dhalimu, walikamatwa katika…
-
DuniaTunaihesabu Uingereza kama mshirika mkuu wa Israel/ Simamisheni uuzaji wa silaha kwa Israel!
Israel tangia tarehe 2 Machi imefunga njia zote za kuingilia Ukanda wa Ghaza, na licha ya ripoti nyingi kuhusiana na njaa kali inayosababishwa na kivuli cha vita, Israel bado imezuia kuingia…
-
DuniaMaandamano Makubwa yafanyika katika Miji ya Marekani yakilenga Kusitishwa Mara Moja vita vinavyo endelea huko Ghaza
Maandamano makubwa yamefanyika siku ya Ijumaa katika miji kadhaa nchini Marekani huku yakihudhuriwa na watu wengi, watu hao walidai kusitishwa mara moja kwa vita huko Ghaza na kusema kuwa njia…
-
DuniaWanafunzi wa Kifaransa wadai kuekewa vikwazo vya kiuchumi Israel, kwa ajili ya kuwakingia kifua watu wa Ghaza
Wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya Ufaransa siku ya Ijumaa huko Paris waliandamana kwa ajili ya kuwaunga mkono watu wa Ghaza.
-
DuniaBaadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu hawana ujasiri hata wa mtoto mdogo wa Ghaza
Baadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu, siku moja watalazimika kutoa majibu. Naam, sisi tunawauliza watu wenye nidhamu za woga: Je, hamna hata ujasiri wa kiwango cha mtoto aliyesimama mbele ya…
-
Ayatollah Al-Jawahiri:
HawzaGhaza haitashindwa kamwe
Ayatollah al-Jawahiri amesisitiza “nafasi isiyo na mfano ya maulamaa katika kuilinda Umma”, ameuita ushindi wa Gaza kuwa hauepukiki, na aina yoyote ya kujisalimisha mbele ya adui ni khiyana kwa…
-
Nasir Abu Sharif katika Msikiti wa Jamkaran:
DuniaKwa siku 44 hakuna maji, chakula wala dawa vilivyoingia Ghaza / Wanazuoni katika ulimwengu wa Kiislamu wako wapi?
Mwakilishi wa Harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina alisema: “Kwa kipindi cha miezi 18 tumeshuhudia dhulma, mauaji ya halaiki, mauaji ya watoto, njaa na kiu huko Gaza. Kwa siku 44 hakuna…
-
DuniaUlamaa wa Yemen wamesisitiza kuhamasisha umma kukabiliana na mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza
Taasisi ya Ulamaa wa Yemen imesema: "Katika kukabiliana na kuvunjwa kwa makubaliano na adui Muisraeli na uvunjwaji wa masharti ya mkataba, kutokana na kuanza tena vita vya uharibifu na kutekeleza…