Jumapili 16 Februari 2025 - 19:01
Watawala wa Sharia | Kupatwa kwa jua na kupatwa kwa sehemu ya Mwezi

Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi alijibu swali la kisheria kuhusu "Kupatwa kwa jua na kupatwa kwa sehemu ya Mwezi".

Kwa mujibu wa Shirika la habari la Hawza, Ayatollah Khamenei alijibu swali la kisheria kuhusu "Kupatwa kupatwa kwa sehemu ya jua na Mwezi" lililotolewa na wapenzi wahudhuriaji.

Swali: Iwapo kupatwa kwa Jua au Mwezi ni kudogo (sehemu tu ya jua au Mwezi) kiasi kwamba kunaweza kuonekana kwa (macho yasiyokuwa ya kawaida, kwa maana) chombo maalum cha kuona mbali, katika hali hii, je, Swala ya A’yat inakuwa ni wajibu?

Jibu: Kwa kujengea katika Ihtiyati wajibu (Tahadhari ya wajibu), Swala ya A’yat inatakiwa kuswaliwa.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha