Habari mpya
Zilizo angaliwa sana
Dini
لیستی صفحه سرویس
-
Qari Ahmad Aboulghasemi wa Iran ashiriki vikao vya Qur’ani Nairobi
Qari wa kimataifa wa Iran Ahmad Aboulghasemi, ametembelela Kenya katika siku za kwanza za mwezi mtukufu wa Ramadhani na kushiriki katika vikao kadhaa vya qiraa ya Qur’ani Tukufu.
-
Ayatollah Modarresi: Uislamu una vipengele vyote vya ustaarabu na duara lake linapaswa kupanuliwa
Hawza / Ayatollah Sayyid Mohammad Taqi al-Modarresi ametoa wito kwa Wanazuoni wa Iraq kuwajibika kwa ajili ya kueneza Dini na kueneza Mafundisho yake.
-
Kuweka Hema la Ramadhani huko Moscow
Hawza / Hema la Ramadhani ni tukio maalum nchini Urusi ambapo Meza za iftar za kila siku zinawekwa na zaidi ya watu 600 hukusanyika katika Meza hiyo bila kujali utaifa au imani zao.
-
Programu za huduma na utamaduni wa Madhabahu (Haram) Tukufu ya Hazrat Abbas (AS) wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Hazwa / Madhabahu Tukufu ya Hazrat Abbas (amani iwe juu yake), imepitisha programu kadhaa za huduma na kitamaduni za kuwapatia Mazuwwari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Imamu wa Ijumaa wa Baghdad: Upinzani dhidi ya Israel hauishi (haukamiliki)
Hawza / Ayatollah Sayyid Yassin Mousawi, Imamu wa Ijumaa wa Baghdad akiashiria kuhusiana na Mazishi na Maziko Matukufu ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah amemtaja kuwa ni "Shahidi wa Ummah" na…
-
Ayatollah Arafi:
Seminari ya Qom ni amana ya thamani ya kihistoria...
Mkurugenzi wa Seminari (Hawza) nchini (Iran) katika Mkutano wa Mameneja na Wafanyakazi wa usimamizi wa Seminari ya Qom alionyesha nafasi ya juu ya Seminari ya Qom katika Historia yote na kusisitiza…
-
Ayatollah Al-Udhma Shabiri Zanjani alisema:
Umuhimu wa Mwezi wa Ramadhani katika Sala ya Amirul Muminin (AS)
Hawza / Mwezi wa Ramadhani ulipokuwa ukiingia, Hadhrat Ali (a.s) alikuwa akielekea Kibla kisha anaomba dua namna hii: Eee Mwenyezi Mungu! Ufanye Mwezi huu kuwa mpya kwetu kwa usalama, imani,…
-
Dkt. Samia Suluhu Hassan:
Tuwapende na Kuwakirimu Mayatima
Hawza / Uislamu umetuelekeza na kutuhimiza kuwapenda, kuwakirimu na kuwahurumia Mayatima, na kutokuwaonea.
-
Sheikh Walid Al-Hadi:
Chochote unachokijua kuwa hiki kina kheri, basi usiache kupambana kukifanya
Hawza / Kumswalia Mtume wetu Muhammad (s.a.w.w) kwa wingi ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuna kheri nyingi.
-
Afisa wa vyombo vya habari vya Seminari na Kituo cha anga za juu alitangaza:
Kupanua shughuli za shirika la habari katika lugha 11 / Hitaji la kuimarisha zana za vyombo vya habari vya ndani ili kukabiliana na udhibiti wa kimataifa
Leo, habari za Seminari (Hawza) zinachapishwa katika lugha 11, na Mwenyezi Mungu akipenda, ifikapo mwisho wa mwaka, tovuti za lugha hizi zote zitaamilishwa kikamilifu.
-
Kisomo kizuri cha Qur'an Tukufu
Kisomo hiki kizuri kimefanywa na msomaji kijana mbele ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
-
Ayatollah Arafi katika Madrasa ya Maasumiyah:
Katika zama mpya, Ujumbe wa Seminari za Kiilmu ni mzito zaidi kuliko hapo zamani
Hawza / "Tumeingia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na ibada za Mwezi huu zina daraja na viwango tofauti, na wale waliofaulu kuufahamu ukweli na uhakika wa kifalme wa Mwezi huu si sawa (wengine).…