-
KiswahiliDua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya nane
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu (ili niweze) kuwasaidia mayatima, niwalishe vyakula, pia nijaalie niweze kuwasalimia (Waislamu wote) kila nikutanapo nao, Unijaalie kuhusubiana na…
-
Hadithi ya leo:
KiswahiliJibu wema kwa wema
Mungu awalaani majambazi wa wema. Akaulizwa majambazi wa wema ni akina nani? (Imam Swadiq, as) akasema: Mtu anayetendewa wema lakini hashukuru (anakufuru), matokeo yake anamfanya mtenda wema…
-
KiswahiliMaonyesho ya Kimataifa ya Qur'an ya Tehran yafunguliwa
Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yameanza kupokea wageni baada ya sherehe rasmi ya ufunguzi.
-
KiswahiliQari Ahmad Aboulghasemi wa Iran ashiriki vikao vya Qur’ani Nairobi
Qari wa kimataifa wa Iran Ahmad Aboulghasemi, ametembelela Kenya katika siku za kwanza za mwezi mtukufu wa Ramadhani na kushiriki katika vikao kadhaa vya qiraa ya Qur’ani Tukufu.
-
KiswahiliAyatollah Modarresi: Uislamu una vipengele vyote vya ustaarabu na duara lake linapaswa kupanuliwa
Hawza / Ayatollah Sayyid Mohammad Taqi al-Modarresi ametoa wito kwa Wanazuoni wa Iraq kuwajibika kwa ajili ya kueneza Dini na kueneza Mafundisho yake.
-
KiswahiliKuweka Hema la Ramadhani huko Moscow
Hawza / Hema la Ramadhani ni tukio maalum nchini Urusi ambapo Meza za iftar za kila siku zinawekwa na zaidi ya watu 600 hukusanyika katika Meza hiyo bila kujali utaifa au imani zao.
-
KiswahiliProgramu za huduma na utamaduni wa Madhabahu (Haram) Tukufu ya Hazrat Abbas (AS) wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Hazwa / Madhabahu Tukufu ya Hazrat Abbas (amani iwe juu yake), imepitisha programu kadhaa za huduma na kitamaduni za kuwapatia Mazuwwari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
KiswahiliImamu wa Ijumaa wa Baghdad: Upinzani dhidi ya Israel hauishi (haukamiliki)
Hawza / Ayatollah Sayyid Yassin Mousawi, Imamu wa Ijumaa wa Baghdad akiashiria kuhusiana na Mazishi na Maziko Matukufu ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah amemtaja kuwa ni "Shahidi wa Ummah" na…
-
Ayatollah Arafi:
KiswahiliSeminari ya Qom ni amana ya thamani ya kihistoria...
Mkurugenzi wa Seminari (Hawza) nchini (Iran) katika Mkutano wa Mameneja na Wafanyakazi wa usimamizi wa Seminari ya Qom alionyesha nafasi ya juu ya Seminari ya Qom katika Historia yote na kusisitiza…
-
Ayatollah Al-Udhma Shabiri Zanjani alisema:
KiswahiliUmuhimu wa Mwezi wa Ramadhani katika Sala ya Amirul Muminin (AS)
Hawza / Mwezi wa Ramadhani ulipokuwa ukiingia, Hadhrat Ali (a.s) alikuwa akielekea Kibla kisha anaomba dua namna hii: Eee Mwenyezi Mungu! Ufanye Mwezi huu kuwa mpya kwetu kwa usalama, imani,…
-
Dkt. Samia Suluhu Hassan:
KiswahiliTuwapende na Kuwakirimu Mayatima
Hawza / Uislamu umetuelekeza na kutuhimiza kuwapenda, kuwakirimu na kuwahurumia Mayatima, na kutokuwaonea.
-
Sheikh Walid Al-Hadi:
KiswahiliChochote unachokijua kuwa hiki kina kheri, basi usiache kupambana kukifanya
Hawza / Kumswalia Mtume wetu Muhammad (s.a.w.w) kwa wingi ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuna kheri nyingi.
-
Afisa wa vyombo vya habari vya Seminari na Kituo cha anga za juu alitangaza:
KiswahiliKupanua shughuli za shirika la habari katika lugha 11 / Hitaji la kuimarisha zana za vyombo vya habari vya ndani ili kukabiliana na udhibiti wa kimataifa
Leo, habari za Seminari (Hawza) zinachapishwa katika lugha 11, na Mwenyezi Mungu akipenda, ifikapo mwisho wa mwaka, tovuti za lugha hizi zote zitaamilishwa kikamilifu.
-
KiswahiliKisomo kizuri cha Qur'an Tukufu
Kisomo hiki kizuri kimefanywa na msomaji kijana mbele ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
-
Ayatollah Arafi katika Madrasa ya Maasumiyah:
KiswahiliKatika zama mpya, Ujumbe wa Seminari za Kiilmu ni mzito zaidi kuliko hapo zamani
Hawza / "Tumeingia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na ibada za Mwezi huu zina daraja na viwango tofauti, na wale waliofaulu kuufahamu ukweli na uhakika wa kifalme wa Mwezi huu si sawa (wengine).…
-
Tafsir ya Qur'an | Surat al-Fatiha:
KiswahiliMwenyezi Mungu Ndiye Mmiliki wa Siku ya Malipo
Hawza / Mwenyezi Mungu kama ambavyo Yeye Ndiye Mmiliki wa Ulimwengu mzima, vile vile Yeye Ndiye Mwenye kumiliki Siku ya Kiyama, ambayo ndio Siku ya Malipo na Siku hiyo watu wote watalipwa kulingana…
-
Ayatollah Mkuu Javadi Amoli:
KiswahiliRamadhani ni wakati wa utakaso wa nyoyo
Hawza / Hazrat Ayatollah Javadi Amoli amefafanua: Moyo sio kama dimbwi ambalo maji yake yanaweza kusafishwa kwa urahisi, au kama mkondo na vijito vidogo ambavyo ni rahisi kusafisha [badala yake]…
-
Kiongozi wa Mapinduzi ameeleza katika Hafla ya Ukaribu na Qur'an na katika mkusanyiko wa Maprofesa na Wasomaji wa Qur'an Mashuhuri na wa Kimataifa:
KiswahiliMuujiza wa Kusoma (Qur'an kwa utaratibu); Mafahimu za Qur'an zinazotiririka katika nyoyo na kuzifanyia kazi
Hawza / Ayatollah Khamenei amesema: Kwa bahati nzuri, nchi imepata maendeleo ya haraka katika uwanja wa Qur'an, ikilinganishwa na kabla ya Mapinduzi, wakati Qur'an ilipoachwa na usomaji wake…
-
KiswahiliSifa Kuu Tatu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni bora zaidi kuliko Miezi mingine na Masiku yake ni Masiku Bora kuliko Masiku Mengine.
-
KiswahiliWanafunzi wa Dar-ul-Muslimeen waukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan + picha
Wanafunzi wa Primary School ya Darul Muslimin, Dododma, Tanzania, wameukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Dua, Maigizo, Hotuba, Maonyesho na Tamthiliya mbalimbali kuhusiana na Mwezi Mtukufu…
-
Kwa Mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan wa mwaka 1446 Hijria:
KiswahiliKauli mbiu yetu; Ramadhan katika kumtumikia Mwanadamu
Hawza / kwa mnasaba wa kuanza kwa Mwezi wa Ramadhan wa mwaka 1446 Hijria, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithna Ashari Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ametoa Salam za hongera…
-
KiswahiliMaandiko ambayo yalikuwa bado hayajabadilishwa kuwa Hotuba
Hawza / "Nazungumza nanyi wapendwa katika nchi yetu tuipendayo ya Lebanon, pamoja na nchi za Kiarabu na Kiislamu, na watu huru wa duniani na wale wote wasiokubali kudhulumiwa na kupigana dhidi…
-
KiswahiliUtekaji nyara wa Maulamaa watatu wa Pakistan ulimekasirisha watu wa nchi hii
Hawza / Wanazuoni watatu wa Kipakistan wanaosoma katika Seminari ya Qom (Jamiat Al-Mustafa Al-Alamiyya) wametekwa nyara na watu wasiojulikana walipokuwa wakirejea kutoka Iran kuelekea Pakistan…
-
Ayatollah Makarem Shirazi:
KiswahiliMahdi (a.t.f.s) atahukumu baina ya "Watu wa Kitabu" kwa kutegemea Kitabu chao kitakatifu
Hawza / Hadhrat Ayatollah Makarem Shirazi amesema: Sio watu wote wanakuwa Waislamu wakati wa utawala wa Imam Zaman (a.t.f.s) na kuna watu miongoni mwa Watu wa Kitabu ambao si maadui na hawatafuti…
-
Wasia wa Baba:
KiswahiliWasia wa Allamah Abdullah Al-Mamaqani kwa Mwanae
Hawza / "Itafute Dunia (itafute mali, pambana uwe tajiri uondokane na umasikini na ufukara,) kama kwamba hutokufa na utaishi milele duniani, lakini tenda (fanya amali njema) kwa ajili ya kuitafuta…
-
Ayatollah Arafi:
KiswahiliSeminari (Hawzah) za Kisayansi zinasimama kwenye mikondo na mienendo ya Upinzani (Muqawamah) / Mazishi ya Shahidi Nasrallah yameimarisha Mshikamano ndani ya Jamii ya Lebanon
Hawza / Katika ujumbe wake kwa Mnasaba wa Mazishi yaliyohudhiriwa na milioni moja ya watu ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah nchini Lebanon, Mkurugenzi wa Seminari (Hawzah) nchini (Iran) amesema:…
-
KiswahiliVideo / Licha ya uharibifu mkubwa, wanajiandaa kwa ajili ya Ramadhani
Hawza / Watu wa Gaza wanajiandaa kusherehekea mwezi mtukufu wa Ramadhani licha ya uharibifu mkubwa.
-
KiswahiliKhatibu na Mwanafikra mashuhuri wa India ameitikia wito wa Haki
Hawza / Sayyid Naeem Abbas Abedi, Mwanazuoni Mkubwa wa Kidini na Mkurugenzi wa zamani wa Jamiat al-Muntadhir Amroha ya India, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.
-
KiswahiliUshauri wa Imamu Ridha (AS) kuhusu siku za mwisho za Mwezi wa Sha'ban
Hadhrat Ayatollah Al-Udhma Sayyid Musa Shubairi Zanjani amesema: Imam Reza (AS) aliamuru kusoma sana dua hii katika siku za mwisho za Mwezi wa Sha'ban: «Ewe Mwenyezi Mungu! Ikiwa haujatusamehe…
-
KiswahiliHukumu za Kisheria kwa Mujibu wa Madhehebu ya Ahlul-Bayt (a.s)
Hukumu za Kisheria zitakazomfanya Mwanadamu afaulu Kesho Siku ya Kiyama, zinagawanyika katika sehemu kuu tatu: Hukumu za Kiitikadi, Hukumu za Kimatendo, na Hukumu za Kimaadili.