Kwa mujibu wa kundi la Tarjama la Shirika la Habari la Hawza, Sayyad Naeem Abbas Abedi, Mwanazuoni Mkubwa wa Kidini na Mkurugenzi wa zamani wa Ja'miat al-Muntadhir Amroha ya India, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75.

Hawza / Sayyid Naeem Abbas Abedi, Mwanazuoni Mkubwa wa Kidini na Mkurugenzi wa zamani wa Jamiat al-Muntadhir Amroha ya India, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.
Maoni yako