India (8)
-
DuniaMwanazuoni wa Kiislamu kutoka India: Iran imevunja kiburi cha Israel na Marekani
Hawza/ Hujjatul-Islām wal-Muslimīn Sayyid Ahmad Ali Abidi, kufuatia ushindi wa kihistoria wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni na Marekani, kwa kwenye ujume…
-
DuniaWananchi wa India wapinga vikali kauli za uchochezi zilizo tolewana Trump
Hawza/ Wakati wa maandamano ya kupinga uonevu huko Lucknow, waandamanaji walichoma moto picha za Benjamin Netanyahu na Donald Trump pamoja na bendera ya utawala wa Kizayuni, wakionesha ghadhabu…
-
Mwanazuoni Mashuhuri nchini India:
DuniaHawza ni zaidi ya mafunzo na kufundisha, ni kiongozi wa Mapinduzi ya Kifikra na Kimaadili
Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Aqil al-Gharawi, katika hotuba yake, alibainisha kwamba Hawza si kituo cha masomo tu, bali ni chimbuko la mapinduzi ya kifikra na kimaadili, walimu wanapaswa kuweka…
-
Ayatollah Shab Zendedar:
HawzaJe! Endapo Hawza na maulamaa wasingekuwepo, katika Uislamu kingelibakia chochote?
Katika nukuu yake, Katibu wa Baraza Kuu la Hawza alisema: Katika kipindi chote cha harakati za Ma’imamu watoharifu (ʿalayhim al-salām), fursa kubwa ya kueneza maarifa ya Kiislamu haikupatikana.…
-
HawzaKufanyika kwa kikao cha “Hawza Yetu na Majukumu Yetu” huko Lucknow, India
Katika muktadha wa kuimarisha nafasi ya hawza na kuchunguza mbinu za kuinua nafasi ya maulamaa katika jamii, mkutano kwa anuani ya “Hawza Yetu Lucknow na Majukumu Yetu” umefanyika katika mji…
-
HawzaPingamizi la kihistoria kutoka dini tofauti nchini India dhidi ya uharibifu wa Makaburi ya Baqi: Hatutatulia Hadi Makaburi ya Wana wa Mtume yarekebishwe
Hawza: Katika matembezi makubwa yaliyoandaliwa mjini Mumbai, wafuasi wa dini na madhehebu tofauti walisimama bega kwa bega na kupaza sauti moja huku wakisema: "Hatutakaa kimya hadi makaburi ya…
-
DuniaHafla ya kumtambulisha mwakilishi mpya wa kiongozi Mkuu wa mapinduzi Iran nchini India, imefanyika
Katika hafla ya iliyo fana ilifanyika katika kituo cha utamaduni cha Jamhuri ya kiislamu ya Iran jijini New Delhi, mchango wa miaka kumi na mitano wa huduma za dhati na zenye mafanikio ulio tolewa…