Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Wanafunzi wa Primary School ya Darul Muslimin, Dododma, Tanzania, wameukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Dua, Maigizo, Hotuba, Maonyesho na Tamthiliya mbalimbali kuhusiana na Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, sambamba na kuwatakia Waislamu wote duniani afya na swiha njema katika kuufunga Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani uliojaa baraka, maghfira na malipo mema toka kwa Mwenyezi Mungu.

Wanafunzi wa Primary School ya Darul Muslimin, Dododma, Tanzania, wameukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Dua, Maigizo, Hotuba, Maonyesho na Tamthiliya mbalimbali kuhusiana na Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Maoni yako