Alhamisi 27 Februari 2025 - 19:10
Video / Licha ya uharibifu mkubwa, wanajiandaa kwa ajili ya Ramadhani

Hawza / Watu wa Gaza wanajiandaa kusherehekea mwezi mtukufu wa Ramadhani licha ya uharibifu mkubwa.

Kwa mujibu wa kundi la Tarjama la Shirika la Habari la Hawza, watu wa Gaza wanajiandaa kwa ajili ya kuadhimisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani licha ya uharibifu mkubwa uliosababishwa na Miezi 15 ya vita na mauaji ya kimbari ya utawala haram wa Israel dhidi ya Palestina.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha