Uhispania, kutokana na shinikizo la wananchi na baadhi ya maafisa wa serikali, imefuta kwa upande mmoja mkataba wa dola milioni 7.8 wa uuzaji silaha kwa Israel.
Kikao cha Kitaifa cha Palestina kimefanyika kwa ushiriki wa maulamaa mashuhuri na viongozi wa kidini katika Kituo cha Kitamaduni cha Urafiki kati ya Pakistan na China mjini Islamabad.