Gaza (7)
-
DuniaBalozi wa Marekani Jakarta, ashuhudia maandamano ya Wananchi wa Indonesia
Jakarta, mji mkuu wa Indonesia, ulishuhudia maandamano ya wananchi yaliyolenga kuunga mkono watu wa Palestina wanaoteseka. Waandamanaji walikusanyika mbele ya ubalozi wa Marekani huku wakiimba,…
-
DuniaWafanyakazi wa Microsoft wavuruga sherehe, wasema AI ya shirika imechangia mauaji ya kimbari Gaza
Wafanyakazi wa shirika la Microsoft la Marekani wameandamana wakati wa tukio la sherehe ya miaka 50 ya kuanzisha kampuni hiyo, wakitangaza upinzani wao dhidi ya kutumiwa teknolojia ya Akili Mnemba…
-
DuniaHamas: Takriban watoto 19,000 wameuawa shahidi huko Ghaza
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa, takriban watoto 19,000 wameshauawa shahidi huko Ghaza na takriban watoto 39,000 wamepoteza kwa uchache mzazi mmoja au wote…
-
DuniaWanazuoni wa Kiislamu Watoa Fatwa ya Jihad Dhidi ya Israel
Kamati ya Ijtihad na Fatwa ya taasisi moja ya kimataifa ya wanazuoni Kiislamu imesisitiza kuwa kuanzisha Jihad dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Isarel unaoendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya watu…
-
Katuni:
DuniaMauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza kwa msaada kamili wa Magharibi
Mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza kwa msaada kamili wa Magharibi
-
DuniaIsraeli yaua karibu watu 80 wa Gaza katika shambulio kwenye zahanati ya UN
Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni siku mbaya zaidi kwa Wapalestina tangu utawala katili wa Israel uanze…
-
Katuni:
DuniaMvua ya makombora kutoka katika utawala wa kizayuni inawanyeshea wakimbizi wa Ghaza
Makombora ya utawala wa kizayuni yanaendelea kuwamiminikia wakimbizi wa Palestina walio na njaa katika ukanda wa Ghaza.