Hawzah/ Mwandishi wa masuala ya Hawza amesema: Kulinda mipaka ya nyoyo za Mashia wa Imam wa Zama (as) ni jukumu la wanazuoni wa kweli wa Mwenyezi Mungu.
Hawza/ Harakati ya Kiislamu ya Nigeria chini ya uongozi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky iliandaa hafla kubwa kutokana na mnasaba wa Nusu ya Shaaban na kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Mahdi (a.f.), iliyohudhuriw…
Hawza/ Maana ya kina ya neno “Sharik al-Qur’an” (mshirika wa Qur’ani) inaashiria uhusiano wa kudumu kati ya Imam Mahdi (aj) na Qur’ani Tukufu katika kuendeleza uongofu, kuifufua dini, na kulinda…
Hawzah/ Baadhi ya aya katika Qur’ani Tukufu zinahusiana na ushindi wa wenyekudhoofishwa dhidi ya wenye nguvu, na zinabainisha kwamba hatimaye dunia itakuwa ya wale wanaostahiki — yaani wacha…
Hawzah/ “Kudhoofishwa” pekee si sababu ya ushindi dhidi ya maadui na utawala juu ya ardhi; bali kuwepo kwa imani na kujipatia sifa za ustahiki pia ni jambo la lazima. Wenye kunyongeshwa ulimwenguni…
Hawza / Katika zama hizi si haba watu ambao, kwa sababu mbalimbali, hawawezi kuvumilia katika kumuamini Imam aliye ghaibu na kumkumbuka yeye. Kwa kuwa moja ya mafundisho muhimu ya dini ni subira…