Uturuki (4)
-
Tafsiri ya Kituruki ya “Joto lisiloisha” Yachapishwa Nchini Uturuki:
DuniaSimulizi ya Mama Muirani Alie Sababisha Sauti ya Kujitolea Isikike Ulimwenguni
Hawza/ Fasihi ya kujitolea ya Iran imepiga hatua mpya kuwaelekea hadhira wa kimataifa baada ya kuchapishwa kwa tarjama ya Kituruki cha Istanbul.
-
DuniaKuonyeshwa Filamu ya “Mtume wa Rehema 571” iliyoandaliwa na Shirika la Dini la Uturuki
Hawza / Filamu ya katuni ya “Mtume wa Rehema 571,” ambayo imeandaliwa na Shirika la Dini la Uturuki kwa heshima ya mwaka wa elfu moja mia tano tangu kuzaliwa Mtume Muhammad (swww), hivi karibuni…
-
DuniaMaimamu wa Kiislamu duniani wametaka kuundwa umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kuwaunga mkono watu wa Ghaza
Hawza/ Mkutano wa “Wajibu wa Kiislamu na Kibinadamu; Ghaza” kwa ushirikiano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu na Taasisi ya Wanazuoni wa Kiislamu ya Uturuki na kwa kuhudhuriwa…
-
DuniaSehemu ya kuabudia Waislamu yenye umri wa miaka 600 yagunduliwa chini ya ardhi
Hawzah/ Sehemu ya kuabudia Waislamu ya kale yenye umri wa takribani miaka 600 imegunduliwa katika moja ya maghala ya chini ya ardhi ya kuhifadhia mbao nchini Uturuki.