Mwezi wa Muharram (47)
-
DuniaKigali Yaomboleza Ashura kwa Huzuni Kubwa ; Mamia ya Waumini Wakusanyika Kumuenzi Imam Hussein (as) + Picha
Hawza/ Mamia ya waumini wa Ahlul-Bayt (as) nchini Rwanda wamekusanyika kwa wingi jijini Kigali kushiriki Majlisi kubwa ya maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H/2026, kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu…
-
Raisi wa Baraza la Wanazuoni wa Imamiyya Bangladesh:
DuniaKarbala ni alama ya milele ya mapambano kati ya haki na batili na ya kusimama kwa mnyonge dhidi ya dhalimu
Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Ibrahim Khalil Rizvi amesema katika hotuba yake kuwa: Harakati ya Imam Hussein (as) ni alama ya milele ya mapambano kati ya haki na batili, na imewafundisha Waislamu…
-
DuniaSheikh Mkuu wa TIC Aongoza na Kushiriki Matembezi ya Amani ya Ashura Temeke; Ujumbe wa Umoja na Haki Watolewa + Picha
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) na Kiongozi Mkuu wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ameshiriki katika Matembezi ya Amani ya kumbukizi…
-
DuniaBujumbura Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as); Waumini Wafurika Majlisi ya Ashura Nchini Burundi + Picha
Hawza/ Waumini wa Ahlul-Bayt (as) nchini Burundi wamekusanyika kwa wingi katika mji mkuu wa Bujumbura kushiriki kikao kikubwa cha maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 Hijria (2026), kwa lengo la…
-
Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaAshura ni Mradi wa Kudumu wa Mageuzi
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, amesema kuwa; Ashura si tukio la kihistoria tu, bali ni "mradi wa kudumu wa mageuzi", na akasisitiza kwamba kupigania…
-
DuniaMashia wa Morogoro Wamuitikia Imam Hussein (as); Wafanya Majlisi na Matembezi Makubwa + Picha
Hawza/ Katika kuhuisha kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as) na mashujaa wa Karbala, waumini wa Ahlul-Bayt (as) jijini Morogoro wamekusanyika kwa wingi kushiriki majlisi za maombolezo na…
-
DuniaNairobi Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as) katika Maadhimisho Makubwa ya Ashura + Picha
Hawza/ Hali ya huzuni na majonzi ilitawala jijini Nairobi, Kenya, ambapo waumini wa Ahlul-Bayt (as) walikusanyika kwa wingi kushiriki kikao cha maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H, (2026), huku…
-
DuniaMwanza Yamuomboleza Imam Hussein (as) kwa Kufanya Mkusanyiko Mkubwa + Picha
Hawza/ Waumini wa Ahlul-Bayt (as) jijini Mwanza wamefanya kikao kikubwa cha maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H, (2026) kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa kishahidi Imam Hussein (as),…
-
DuniaMatembezi ya Amani ya Ashura Yafanyika Kibaha - Pwani, Waumini Wahuisha Kumbukumbu ya Imam Hussein (as) + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia katika mji wa Kibaha, mkoani Pwani, wamefanya Matembezi ya Amani katika Siku ya Ashura 1448 H/2026, kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa Imam…
-
DuniaKikao cha Maombolezo Siku ya Ashura chafanyika Mbeya, Nchini Tanzania + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mkoani Mbeya wamekusanyika katika Kikao cha Maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H/2026 kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa kishahidi Imam Hussein (as),…
-
DuniaMatembezi ya Amani ya Ashura Yawakutanisha Mamia ya Waumini Jijini Dar es Salaam + Picha
Hawza/ Mamia ya waumini wa dhehebu la Shia jijini Dar es Salaam wamejitokeza kushiriki Matembezi ya Amani yaliyofanyika katika maadhimisho ya Siku ya Ashura 1448 H/2026, ikiwa ni sehemu ya kuenzi…
-
DuniaMatembezi Mukubwa ya Ashura Yafanyika Jijini Moshi; Mapenzi ya Imam Hussein Yadhihirika kwa Waumini + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamefanya Matembezi ya Amani katika Siku ya Ashura 1448 H/2026, kwa lengo la kuenzi na kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi…
-
DuniaMashia wa Kigoma Wafanya Matembezi Makubwa, Utajo wa Imam Hussein (as) Wahuishwa + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mkoani Kigoma wamefanya Matembezi ya Amani katika Siku ya Ashura 1448 H/2026, kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa kishahidi Imam Hussein (as), mjukuu…
-
DuniaWaumini wa Tanga Wamiminika Barabarani Siku ya Ashura; Imam Hussein (as) Aenziwa kwa Kishindo
Hawza/ Katika kuadhimisha Siku ya Ashura 1448 H/2026, waumini wa dhehebu la Shia mkoani Tanga wamefanya Matembezi ya Amani yaliyoakisi mshikamano wao katika kuenzi kumbukumbu ya shahada ya Imam…
-
DuniaMatembezi ya Amani ya Ashura Yafanyika Arusha; Ujumbe wa Haki na Mshikamano Watolewa + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mjini Arusha wamefanya Matembezi ya Amani katika kuadhimisha Siku ya Ashura 1448 H/2026, huku wakihuisha kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as), mjukuu wa…
-
DuniaMatembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Arusha + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia jijini Arusha wamefanya matembezi ya amani kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), aliyeuawa kwa dhuluma…
-
DuniaVikao vya Maombolezo ya Imam Hussein (as) na Matembezi ya Amani Vyafanyika Mjini Moshi, Tanzania + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mjini Moshi, Tanzania, wamefanya vikao vya maombolezo ya Imam Hussein (as) sambamba na matembezi ya amani katika kuhuisha kumbukumbu ya shahada ya mjukuu wa…
-
DuniaMatembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Singida, Tanzania + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia jijini Singida wamefanya matembezi ya amani kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), katika…
-
DuniaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) Ashiriki Zoezi la Usafi Kumuenzi Imam Hussein (as) Jijini Dar es Salaam + Picha
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala, jana tareh 25 June 2026, ameshiriki katika zoezi la usafi wa mazingira lililofanyika katika maeneo ya Kigogo,…
-
DuniaNaibu Mudiri wa Hawza ya Imam Swadiq (as) Aongoza Zoezi la Uchangiaji Damu Jijini Dar es Salaam
Hawza/ Katika kuhuisha ujumbe wa kujitolea, kujisadikisha na kuihudumia jamii unaofundishwa na harakati za Imam Hussein (as), Mkurugenzi Msaidizi wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Sheikh Muhammad…
-
DuniaMajlisi za Imam Hussein (as) Zaendelea Kuadhimishwa kwa Hamasa Kubwa Mjini Moshi, Tanzania
Hawza/ Katika mwendelezo wa maadhimisho ya mwezi wa Muharram na kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as), majlisi za maombolezo zimeendelea kufanyika kwa hamasa kubwa katika mji wa Moshi, nchini…
-
DuniaMajlisi za Maombolezo ya Imam Hussein (as) za Kinamama Zaendelea Nchini Tanzania + Picha
Hawza/ Katika siku za maombolezo ya mwezi wa Muharram, zinazokumbusha tukio la kusikitisha la kuuawa kwa njia ya dhuluma Imam Hussein (as) na wafuasi wake katika ardhi ya Karbala, wanawake waumini…
-
DuniaMajlisi za Maombolezo ya Imam Hussein (as) Zaendelea kwa Huzuni Kubwa Jijini Arusha, Tanzania
Hawza/ Katika hali ya huzuni, majonzi na kumbukumbu zenye kuumiza nyoyo za waumini wa Ahlul-Bayt (as), Kituo cha Ahlul-Bayt jijini Arusha kimeendelea kuandaa majlisi za maombolezo ya msiba wa…
-
DuniaMajlisi ya Maombolezo ya Imam Hussein (as) Yafanyika Nchini Malawi Katika Mwezi Mtukufu wa Muharram
Hawza/ Katika mwendelezo wa maadhimisho ya mwezi mtukufu wa Muharram katika bara la Afrika, waumini nchini Malawi wameendelea kuhuisha kumbukumbu ya tukio la kusikitisha la Karbala kupitia majlisi…
-
DuniaMashia wa Kenya Wafanya Maandamano Makubwa ya Kumbukumbu ya Imam Hussein (as); Ujumbe wa Karbala Watingisha Mioyo ya Waumini
Hawza/ Katika hali iliyojaa huzuni, mapenzi na utiifu kwa Ahlul-Bayt (as), mamia ya Waislamu wa Jumuiya ya Kishia nchini Kenya wamefanya matembezi makubwa ya kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein…
-
Mwanazuoni wa Kisunni wa Lebanon:
DuniaMadrasah ya Karbala Imeufundisha Umma Jinsi ya Kusimama Imara Juu ya Haki
Hawza/ Sheikh Ahmad Al-Qattan amesisitiza kwamba; Madrasah ya Karbala imeufundisha Umma jinsi ya kusimama imara juu ya haki na jinsi ya kupambana na dhulma.
-
DuniaVikwazo na Hatua za Kikatili Dhidi ya Mashia wa Bahrain Vyaongezeka
Hawza/ Vikosi vya wanamgambo vimeongeza uwepo wao katika maeneo yanayozunguka Msikiti wa Imam Sadiq (as) kwa lengo la kuzuia maandamano ya wananchi yanayofanyika sambamba na siku za Muharram.
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Najaf Ashraf:
DuniaBaadhi ya Nchi za Ghuba Kuzuia Kufanyika Maombolezo ya Hussein ni Kurudia Sera za Utawala wa Baath
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanji amesema: Leo ni wajibu kwa maadui wa Imam Hussein (as) kuwa na hofu kwamba mwisho wao utakuwa kama mwisho wa utawala wa zamani wa Saddam.
-
DuniaMajlisi za Imam Hussein (as) Zaendelea kwa Hamasa Kubwa katika Nchi za Afrika Mashariki
Hawza/ Nchi mbalimbali za Afrika Mashariki zimeendelea kushuhudia majlisi na mikusanyiko mikubwa ya maombolezo ya Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), katika kumbukumbu ya kuuawa…
-
DuniaHafla za Maombolezo ya Imam Hussein (as) Zafanyika Kusini mwa Beirut
Hawza/ Kwa mnasaba wa kuadhimisha kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein (as), Hizbullah imeandaa na kuendesha majlisi za maombolezo ya mwezi wa Muharram katika maeneo mbalimbali ya kusini mwa…