Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza Umati mkubwa usio na kifani ulimiminika barabarani mkoani Singida kwa ajili ya kudhimisha maombolezo ya kuuwawa mjukuu wa Mtume Muhamad (saw), ambae ni Imam Husein (as) aliye uwawa kikatili katika ardhi ya karbala, nyuso hizi zikiwa zimegubikwa na huzuni kubwa ziliweza kuwasilisha ujumbe wa Imam Husein (as) kwa vitendo zaidi na kuonesha ni jinsi gani haki inapaswa kupambaniwa kwa hali yeyote ile.
Baadhi ya waumini wa kike ambao nao pia waliweza kushiriki katika matembezi hayo
Sehemu nyengine ya wumini ambao pia walishiriki katiaka matembezi hayo mkoani Singida
Maoni yako