Muqawama (87)
-
DuniaJumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu Lebanon: Kauli za Imam Khamenei Zinaleta Utulivu na Fakhari
Hawza/ Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon imesema kwamba maneno ya Mtukufu Ayatullah Imam Sayyid Ali Khamenei kuhusiana na matamshi ya Rais wa Marekani aliyedai kwamba alishambulia…
-
Sheikh Na‘im Qasim:
DuniaSilaha za Hizbullah ni sehemu ya nguvu ya Lebanon
Hawza/ Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa silaha ni sehemu ya nguvu ya Lebanon, na kwamba maadui hawataki Lebanon iwe na nguvu.
-
DuniaSheikh al-Qattan Atoa Shukrani Zake za Dhati kwa Walioiunga Mkono Ghaza
Hawza/ Sheikh Ahmad al-Qattan, mwanazuoni wa Kisunni na Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Qawluna wa al-‘Amal” nchini Lebanon, amesema: “Baada ya matukio tuliyoshuhudia Palestina – hususan huko Ghaza…
-
DuniaAyatullah Khaalisiy atoa onyo kali kuhusiana na muelekeo wa baadhi ya harakati za Iraq kuuelekea “mradi wa Marekani”
Hawza/ Ayatullah Sheikh Jawad Khaalisiy amezionya baadhi ya harakati za kisiasa za Iraq kujiunga na “mradi wa Marekani”, akisisitiza kuwa taasisi za kiusalama zinatawaliwa na watu wanaotumikia…
-
Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Ja’fariyya Pakistan:
DuniaShahada ya kamanda wa Yemen ni fahari kwa Umma wa Kiislamu
Hawza / Sayyid Zawar Hussain Naqvi, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Ja‘fariyya la Kashmir – Pakistan, ametuma slamu za rambirambi huku akielezea huzuni yake ya kina kufuatia kuuawa kishahidi kwa…
-
Mjumbe katika Jumuiya ya Wabunge wa Muqawama:
DuniaUvamizi wa Israel dhidi ya Lebanon hautabadilisha kwa vyovyote mlingano wa ustahimilivu
Hawza/ Hasan ‘Izzuddin amesema kuwa: Adui wa Kizayuni katika siku za hivi karibuni amezisha mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, kwa kuwa anaamini kwamba kupitia shinikizo la kisiasa na kiuchumi,…
-
DuniaMkuu wa Majeshi ya Yemen auawa shahidi
Hawza/ Jeshi la Yemen siku ya Alhamisi limetoa tamko rasmi likitangaza kuuawa kishahidi jenerali wa ngazi ya juu Mohammad Abdulkarim al-Ghamari, aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Yemen, na kutoa salamu…
-
Mjumbe wa Hizbullah ya Lebanon:
DuniaUchaguzi ujao ni hatua muhimu ya kuhuisha imani kwa chaguo la muqawama
Hawza/ Hussein al-Nimr, kiongozi wa eneo la Biqā‘ ndani ya Hizbullah, amesema kuwa jamii ya muqawama katika kila uchaguzi imeonesha kuwa ni jamii imara, thabiti na isiyoshindwa, ambayo kamwe…
-
Msaidizi wa Kimataifa wa Hawza:
DuniaKile tulichokiona Lebanon ni Hizbullah imara, yenye mshikamano na muundo madhubuti wa kiuongozi
Hawza/ Msaidizi wa kimataifa wa hawza ameeleza shughuli za ujumbe wa kielimu uliotumwa kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kushiriki kwenye kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa kuuawa shahidi Sayyid…
-
Mwakilishi wa Bunge la Lebanon:
DuniaBaadhi ya wanasiasa wamekuwa chombo cha Marekani
Hawzah/ Ali Fayyadh amesema: Ni wazi kwamba baadhi ya watu walioko madarakani wanatekeleza kwa makusudi siasa ya kuingiza kila kipengele kinacholeta mvutano na uchochezi katika uwanja wa ndani.
-
Mjumbe wa Kundi la Muqawama nchini Lebanon:
DuniaKulinda Muqawama na damu za Mashahidi ni amana iliyopo shingoni mwetu
Hawza / Hospitali ya Darul-Hikma huko Baalbek imeadhimisha kumbukumbu ya mwaka wa shahada ya Sayyid Hassan Nasrallah, Sayyid Hashim Safiuddīn, pamoja na mashahidi watatu.
-
Naibu wa Masuala ya Kimataifa wa Hawza akiwa Baalbek:
DuniaKutoa heshima kwa Shahidi Musawi na kusisitiza Mazungumzo ya Muqawama nchini Lebanon
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Hussein Kuhsari, Naibu wa Masuala ya Kimataifa wa Hawza, katika kuendeleza ziara yake nchini Lebanon, ametembelea eneo la Bekaa na mji wa kihistoria…
-
Balozi wa Zamani wa Iran Nchini Lebanon:
DuniaShahada ya dhulma ya Nasrallah Imeandaa Mazingira ya Kuimarika kwa Jabhatu’l-Muqawama
Hawza / Balozi wa zamani wa Iran nchini Lebanon amebainisha kuwa: Sayyid Hassan Nasrallah ni mtu mkubwa ambaye shahada yake ya kidhulma imeifanya Jabhatu’l-Muqawama kuwa hai zaidi na yenye nguvu…
-
DuniaUjumbe wa Hawza kutoka Qom Iran Watembelea Nyumba za Mashahidi wa Hizbullah
Hawza / Ujumbe wa Hawza wa Jamhuri ya Kiislamu Iran, ukiwa katika miji ya Lebanon, ulizitembelea na kuziheshimu familia za mashahidi watatu wa Hizbullah.
-
Mwanazuoni wa Pakistan:
DuniaSayyid Hassan Nasrullah kwa Kutumia Maisha Yake Katika Njia ya Haki, Aliigeuza Shahada Kuwa Heshima Kubwa Zaidi Yake
Hawza / Hujjatul-Islam Sheikh Muhammad Jawad Hafizi, katika mkutano wa kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa Shahidi wa Muqawama Sayyid Hassan Nasrullah, aliiita shahada kuwa ni daraja ya juu zaidi,…
-
Kumbukumbu ya Sayyid Hassan Nasrallah na makamanda wa muqawama nchini Afrika Kusini:
DuniaKusisitizwa kuendelezwa kwa njia ya mashahidi
Hawza/ Kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah na Sayyid Hashim Safiuddin, hafla ya kumbukumbu imefanyika nchini Afrika Kusini kwa kuhudhuriwa…
-
Ayatollah Khatami katika Haram Tukufu Bibi Masuma
DuniaKusitisha au kuahirisha urutubishaji ni sawa na kujisaliisha taifa la Iran / Kumbukumbu ya Sayyid Hassan Nasrallah ni sehemu ya kuendelea kwa muqawama
Hawza/ Ayatollah Khatami alisema: urithi uliobaki kutoka kwa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah kwenye ulimwengu wa Kiislamu ni njia ya muqawama, na utajiri wa kiroho aliouacha ni ule utakaouendeleza…
-
Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Kishia Pakistan:
DuniaShahada ya Sayyid Hassan Nasrullah imefungua ukurasa mpya wa kuunga mkono jukwaa la mapambano
Hawzah / Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa kuuawa kishahidi Sayyid Hassan Nasrallah, amesema: Damu…
-
Rais wa Baraza la Umoja wa Waislamu Pakistan:
DuniaMapambano ni urithi wa milele wa Sayyid Hassan Nasrullah kwa ajili ya mustakabali wa Umma wa Kiislamu
Hawzah / Seneta Raja Nasir Abbas Jafari katika mkutano wa “Mashaahidi wa Umma” amesisitiza kuwa: Ni jukwaa la mapambano pekee ndilo linalolinda Umma wa Kiislamu dhidi ya njama za ubeberu.
-
Kiongozi wa Ansarullah Yemen:
DuniaSayyid Hassan Nasrullah ni shahidi wa Uislamu na ubinadamu
Hawza/ Sayyid Abdulmalik Badreddin, kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen, katika hotuba yake kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya shahada ya Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa…
-
Mjumbe Mwandamizi wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu Lebanon:
DuniaWajibu wetu ni kutekeleza majukumu na kupambana na adui
Hawza/ Sheikh Hassan Abdullah alisema: “Wapo baadhi ya watu leo wanaodhani kwamba tumeshindwa, sisi katu hatujashindwa, kushindwa ni pale tu ambapo adui anafanikisha malengo yake.”
-
Sheikh Naeem Qasim:
DuniaKamwe hatutaacha silaha za muqawama
Hawza / Katibu Mkuu wa Hizbullah Lebanon katika sherehe za kumbukumbu ya mwaka wa kwanza tangia kupata shahada Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashim Safiuddin mjini Beirut alisema: “Ewe Nasrullah,…
-
Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom Iran:
DuniaNjia na Madhehebu ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah bado ipo hai / Hizbullah haitawaacha Wazayuni
Hawza/ Njia ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah na madhehebu yake bado ipo hai, na moyo na nafsi za wafuasi wake zinasukumwa kuielekea harakati, jihadi na maendeleo, bila shaka, mkono wa nguvu…
-
Makamu wa Rais wa Baraza Kuu la Kiislamu la Kishia Lebanon:
DuniaMapambano na Israel ni mapambano ya Kitamaduni yanayo endelea, na Muqawama haujashindwa na kamwe hautashindwa
Hawza/ Sheikh Ali al-Khateeb amesisitiza kwamba jamii ya Lebanon, pamoja na kuwa na tofauti za kimadhehebu na kidini, bado ni jamii moja yenye mshikamano, na msimamo wake unapaswa kuwa wa umoja…
-
Kuhuisha kumbukumbu ya Sayyid wa Muqawama:
DuniaKuanzia mapenzi maalumu ya Shahidi Nasrallah kwa Wairani hadi ahadi ya Imam Khomeini (r.a) kwa Sayyid wa Muqawama
Hawza/ Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah: “Tangia mwanzo yalikuwepo mapenzi na upendo kati yangu na ndugu zangu Wairani, marafiki zangu walikuwa wakiniambia: wewe unawapenda Wairani na Wairani…
-
Harakati Umma ya Lebanon:
DuniaMauaji ya Sabra na Shatila ni ushahidi wa kudumu wa ukatili unaofanywa na Wazayuni pamoja na ushirikiano wa baadhi ya madola katika ukanda huu na ya kimataifa
Hawza/ Harakati Umma ya Lebanon katika tamko lililotolewa kutokana na kumbukumbu ya miaka arobaini na moja ya mauwaji ya kimbari ya Sabra na Shatila, ilibainisha kuwa: mauwaji hayo yenye giza…
-
DuniaSheikh Ahmad Qabalan: Muqawama ndiyo nguvu ya Lebanon na uwezo wake wa kipekee wa kusimama imara
Hawza / Hujjat al-Islam Sheikh Ahmad Qabalan, Mufti mashuhuri wa Ja‘fari wa Lebanon alisema: “Israeli ni adui wa kiasili na Muqawama ni nguvu ya Lebanon na uwezo wake wa kipekee kwa ajili ya…
-
DuniaImamu wa Ijumaa Baghdad ataka msimamo mmoja wa Kiislamu na Kiarabu kuhusiana na Ghaza
Hawzah/ Ayatullah Sayyid Yasin Musawi, huku akikosoa ukimya na kutofanya lolote kwa baadhi ya nchi za Kiislamu na Kiarabu mbele ya mauaji ya Wapalestina, amesisitiza juu ya ulazima wa kuchukua…
-
DuniaSheikh Qattan asisitiza umuhimu wa nafasi ya wanawake waumini katika kuunda vizazi vya Muqawama
Hawza/ Raisi wa Jumuiya ya “Qawluna wa al-‘Amal” na mwanachuoni wa Kisunni kutoka Lebanon, katika hafla maalum, amesisitiza juu ya umuhimu wa nafasi ya wanawake waumini katika kuunda vizazi vya…
-
DuniaSilaha kali zaidi ya vikwazo kutoka Marekani dhidi ya Harakati ya Nujabaa imetumika
Hawza/ Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, kwa kuimarisha kiwango cha vikwazo dhidi ya Harakati ya Muqawama ya Kiislamu ya Nujabaa ya Iraq, imeitambulisha rasmi harakati hiyo kama “Shirika la…