Irani (6)
-
DuniaUkubwa wa Israeli ni Kama Nukta Ndani ya Ramani ya Iran
Hawza/ eneo la Iran ni kubwa mno kwa kulinganishwa na Israel; likiwa na ukubwa wa kilomita za mraba 1,648,195, ambalo ni mara 75 zaidi ya eneo la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mkuu wa Shirika la Habari la Sauti ya Afghanistan (AVA):
DuniaIran kwa jibu la kushtua, ilipiga anga ya Israel na kuonesha uwezo wake wa kiutawala
Hawza/ Mkuu wa Kituo cha Harakati za Kiutamaduni na Kijamii cha Tabyan cha Afghanistan, kwa kutoa tamko kuhusiana na jibu la kushtua na la wazi lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika…
-
Baraza kuu la usalama wa Taifa:
DuniaKama utawala wa Kizayuni utafanya kosa lolote lile, basi wafahamu kwamba, Vinu vilivyo fichwa vya Nyuklia vya Utawala huo vipo kwenye lengo la vikosi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Hawza/ Baraza Kuu la Usalama wa Taifa limetoa taarifa kufuatia operesheni tata za kijasusi za askari wa Imam Zaman kwa kusema: Endapo utawala wa Kizayuni utafanya tukio lolote la mashambulizi,…
-
DuniaKenya waandaa kongamano la kuadhimisha miaka 36 tangia kufariki kwa Imam Khomeini (ra)
Hawaza/ Wananchi wa Kenya wameshirikiana na Baadhi ya Wairani wanao ishi katika nchi hiyo kwa ajili ya kuadhimisha miaka 36 tangia kufariki kwa Imam Khomeini (ra).
-
Kwa Mnasaba wa Siku ya Kumuadhimisha Mulla Sadra; Mtazamo juu ya Maisha na Mafanikio ya Mwanamke wa Kwanza Mfilosofia wa Kike wa Iran
HawzaTuuba Kermani; Mwanamke Mfilosofia wa Iran na Kielelezo cha Mwanamke Muislamu katika Nyanja ya Elimu na Maadili
Hawza/ Dkt. Tuuba Kermani, Profesa Mstaafu wa Kitivo cha Theolojia na Maarifa ya Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Tehran, kupitia jitihada zake za kielimu na malezi, si tu aling’ara katika uwanja…
-
DuniaIran ni miongoni mwa nchi 12 zenye mzunguko kamili wa teknolojia ya anga za mbali
Hawza/ Iran ikiwa na mzunguko kamili wa teknolojia ya anga za mbali, inahesabiwa kuwa miongoni mwa nchi 12 zinazoongoza duniani katika sekta hii