Hawza ya Qum (9)
-
DuniaAyatullah Shubeir Zanjani Afariki Dunia
Hawza/ Marjii Mkuu wa taqlid na Faqihi, Ayatullah Al-udhmaa Shubeir Zanjani, amefariki dunia muda si mrefu.
-
Usta'dh Qara’ati mbele ya wanazuoni wa Hawzah:
Dunia“Utaalamu wa dini na uhubiri” ni majukumu mawili makuu ya wanazuoni wa Hawzah/ Tusisome kwa ajili ya kupata “cheti”
Hawza/ Hujatul-Islam wal-Muslimin Muhsen Qara’ati amesema kuwa “taffaquh katika dini na uhubiri” ni majukumu mawili makuu ya wanafunzi na wanazuoni wa Hawzah, akisisitiza kwamba lengo la Hawza…
-
Naibu Mkurugenzi wa Hawzah ya Qom:
DuniaKumlea “Mwanafunzi wa Hawzah Mwenye Uwezo Mpana” ni Miongoni mwa Masharti ya Kuifikisha Hawzah katika Nafasi ya Uongozi na Ubora
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Malekii, huku akisisitiza umuhimu wa kujenga ari ya kielimu na kimaanawi katika madrasa za kielimu, amesema: “Hawzah inayoongoza na kuwa kielelezo” itatimia…
-
Mwakilishi wa Ataba ya Alawiya Nchini Iraq:
DuniaUshirikiano wa Hawzah za Iran na Iraq Uimarishwe Katika Nyanja za Kielimu na Kiutamaduni
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Naba Al-Hamami, akipongeza Maonesho ya 11 ya Kitaalamu ya Vitabu vya Hawzah na Maarifa ya Kiislamu, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano kati…
-
HawzaHawza za Iran Zapongeza Huduma ya Wanazuoni Lebanon kama Mfano Mpya wa Uhubiri wa Kimataifa
Kiongozi mwandamizi wa Hawza nchini Iran amesema kuwa; mifumo ya jadi ya uhubiri wa dini katika medani ya kimataifa imepitia mabadiliko makubwa, huku akipongeza uwepo wa moja kwa moja wa wanazuoni…
-
Ayatullah Huseini Bushehri:
HawzaLeo Tunawahitajia Watu Kama Sheikh Ansa'ri Wanaoendana na Mahitaji ya Zama/ Asisitiza Jihadi ya Kielimu Sambamba na Jihadi ya Ulinzi
Hawzah/ Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walimu wa Hawzah ya Qom, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea na jihadi ya kielimu sambamba na jihadi ya ulinzi, amesema: Sheikh Ansari (ra) katika zama zake…
-
Naibu wa Masuala ya Kimataifa wa Hawza Nchini Iran:
DuniaKuweka Mambo ya Kimataifa katika Nguzo Zote za Hawza ni Miongoni mwa Ajenda/ Matumizi Mapana ya Teknolojia za Kisasa na Akili Mnemba
Hujjatul-Islamu wal-Muslimina Husseini-Kouhsari amebainisha kuwa, mipango ya mabadiliko ya Naibu wa Masuala ya Kimataifa wa Hawza imeandaliwa kwa lengo la kuweka mwelekeo wa kimataifa katika…
-
Ayatullah Saidi:
DuniaKuingia Bibi Fatima Ma’suma (s.a.) Jijini Qum Ilikuwa Mwanzo wa Harakati ya Kistaarabu ya Kueneza Maarifa ya Ahlulbayt (as)
Hawza/ Msimamizi wa Haram Tukufu ya Bibi wa Karama, huku akisisitiza nafasi ya kihistoria na kistaarabu ya kuwasili kwa Bibi Fatima Ma’suma (s.a.) katika mji huu mtukufu, amesema kuwa; tukio…
-
VideoHawza ya Qum Yazindua Mkusanyiko wa Juzuu 12 Zinazohusu Mada za Utafiti wa Elimu na Maarifa Yanayohusiana na Mtume Muhammad (saww) Zikiwa ni Zawadi Kuielekea Jamii + Picha/ Video
“Mkusanyiko wa Juzuu 12 zenye Mada za Utafiti wa Elimu na Maarifa ya Kimuhammadi” zenye mada 60,000 za utafiti katika nyanja 28 za kielimu, umezinduliwa mjini Qum sambamba na Wiki ya Umoja, na…