Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Hawza, Mtukufu Ayatullah Khamenei katika kongamano hili la Qur’ani alishukuru na kuthamini kiwango kizuri cha visomo (tilawa) vilivyotekelezwa.
Katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani imefanyika mahfali ya kisomo cha Qur'ani huku Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akihudhiria
Hawza/ Mahafali ya kisomo cha Qur’ani Tukufu imefanyika kwa kuhudhuriwa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kundi la walimu pamoja na wasomaji mahiri na wa kimataifa wa Qur'ani tukufu, ilifanyika katika Husseiniyya ya Imam Khomeini (r.a).
Maoni yako