Alhamisi 20 Februari 2025 - 11:45
Tambua haki za watu na uzitekeleze

Daraja (cheo) ya juu mbele ya Mwenyezi Mungu ni ya mtu anayetambua haki za watu na akafanya juhudi zote kutimiza haki zao.

Shirika la Habari la Hawza, Imamu Hassan (a.s) amesema:

«أَعْرَفُ اَلنَّاسِ لِحُقُوقِ إِخْوَانِهِ وَ أَشَدُّهُمْ قَضَاءً لَهَا أَعْظَمُهُمْ عِنْدَ اَللَّهِ شَأْناً.»

"Daraja (cheo) ya juu mbele ya Mwenyezi Mungu ni ya mtu anayetambua haki za watu na akafanya juhudi zote kutimiza haki zao."

Tanbih al-Khawatir, Jz 2, uk 107

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha