Shirika la Habari la Hawza - Imam Muhammad al- Mahdi (a.s.) alizaliwa mnamo tarehe 15 Sha’ban 255 A.H. (868 C.E.) huko Samarra na Bibi Narjis, mke wa Imam wa Kumi na Moja Imam Hasan al-‘Askari (a.s.).
Nasaba ya Bibi Narjis inarejea nyuma mpaka kwa Simon (Sham’un), mmoja wa wanafunzi wa Nabii ‘Isa (a.s.); na alikuwa akiheshimiwa sana na Bibi Hakima, dada yake Imam Ali an-Naqi (a.s.) na Kiongozi wa wanawake wa Bani Hashim. Tangu taarifa juu ya kutazamiwa kuzaliwa kwa Mahdi, ...
Maoni yako