Baada ya kipindi cha ghaiba kupita, kwa mapenzi ya Mola wa ulimwengu, Imam wa Kumi na Mbili (a.s) atadhihiri na kuja kuijaza dunia wema na uzuri. Hakuna anayejua wakati wa kudhihiri kwake, na…
Imam, ambaye ni kiongozi na muongozaji wa jamii, ni lazima ajiepushe na maovu yote pamoja na tabia potofu kimaadili, na badala yake awe ni mwenye sifa zote bora na maadili ya kiwango cha juu…