Hukumu za Kisheria (16)
-
DiniHukmu za Kisheria | Kuungana na Imamu wa Swala ya Jamaa kupitia wanawake
Hawza / Mtukufu Ayatullah Khamenei amejibu istiftaa kuhusu hukmu ya kisheria ya namna ya kuungana na imamu wa swala ya jamaa kupitia wanawake
-
DiniHukumu za Kisharia | Kumfuata Imamu wa Jamaa Asiyefahamika Katika Mikusanyiko ya Umma
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Khamenei amejibu swali la kifiqhi kuhusiana na hukumu ya kisheria ya kumfuata Imamu wa jamaa asiyefahamika katika mikusanyiko ya umma.
-
DiniHukumu za Kisheria | Ndoa katika Miezi ya Muharram na Safar
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Khamenei amejibu istift'a kuhusiana na hukumu ya kisheria ya kufunga ndoa katika miezi ya Muharram na Safar.
-
DiniHukumu za Kisheria | Kupinga Matokeo ya Istikhara
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Sayyid Ali Husaini Sistani amejibu swali la istiftaa kuhusu kupinga matokeo ya istikhara na njia za kujiepusha na majuto baada ya kuifanya.
-
DiniHukumu za Kisheria | Kusikia Aya ya Sajda ya wajibu katika Swala
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Khamenei amejibu swali la kifiqhi kuhusu wajibu wa mwenyekuswali pindi anaposikia aya ya sajda ya wajib katika swala za faradhi na zile za sunnah.
-
Hukumu za kisheria:
DiniHukumu ya mvuke na kioevu kinachotokana na najisi ni ipi?
Hawza / Mtukufu Ayatullah Khamenei amejibu swali kuhusiana na hukumu ya mvuke wa najisi na kioevu kinachotokana na najisi hiyo.
-
Hukumu za Kisheria:
DiniSwala na Funga kwa wanafunzi wa hawza na vyuo vikuu katika miji ya masomo
Hawza/ Ayatollah Khamenei amejibu swali la kifiqhi kuhusu “swala na funga kwa wanafunzi wa hawza na vyuo vikuu katika miji wanayosomea.”
-
Hukumu za Kisheria za Kiislamu:
DiniUongo katika Mzaha
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi amejibu swali lililo angazia kuhusiana na “uongo wa mzaha”.
-
Hukumu za Kisheria:
HawzaKujibu matusi
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi alijibu swali la kifiqhi kuhusiana na"kuwajibu wanaotoa matusi".
-
Hukumu za Kisheria
DiniHukumu ya Mwanafunzi wa Dini Aliyevaa Vazi Rasmi (kilemba) Kumfuataa Mwanafunzi Asiyevaa Kilemba
Hadhrat Ayatullah al-‘Uẓmā Makarim Shirazi amejibu swali la kifiqhi kuhusu “hukumu ya mwanafunzi wa dini aliyevaa kilemba kumfuata mwanafunzi wa dini asiyevaa kilemba.”
-
Hukumu za Kisheria:
DiniKile kilichosalia katika wosia wa mali ya maiti
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi amejibu swali la kifiqhi kuhusu "kile kilichosalia katika wosia wa mali ya maiti."
-
Hukumu za Kisheria:
DiniKhums ya mauzo ya zawadi na urithi
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi amejibu istiftaa kuhusu “Khums ya mauzo ya zawadi na urithi.”
-
Sheria za kiislamu:
DiniJe! Ninaweza kula samaki katika mgahawa usio wa muislamu?
Kuna masharti kadhaa ili ule samaki katika mgahawa usio milikiwa na muislamu, masharti ambayo Ayatullah Sistani ameyabainisha.
-
Hukumu za kisheria:
DiniKugusa maandishi ya Qur'ani mtoto mdogo
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu swali la kifiqhi kuhusu "mtoto mdogo kugusa Qur'ani.
-
Hukumu za Kisheria:
DiniMasharti ya Kufidia Hasara katika mkataba wa Mudharaba
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, amejibu swali kuhusu "sharti la kufidia hasara katika mkataba wa mudh'araba".
-
Hukumu za Kisheria:
DiniUnunuzi na uuzaji Noti
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi alijibu swali kuhusu "Ununuzi na uuzaji wa Noti".