Ayatollah Alireza Arafi (20)
-
Ayatollah A'rafi:
HawzaLengo la juu kabisa la kuwa faqihi katika dini ni kuwaonya watu / Uhusiano wa kina kati ya muqawama wa taifa la Iran na harakati ya damu ya Ashura
Hawza/ Mkurugenzi wa vyuo vya kidini (hawza) Irani amebainisha kuwa: Katika hali ya hatari ya sasa ambapo maadui wameushambulia kwa nguvu zote na kila upande mfumo mtukufu wa Jamhuri ya Kiislamu…
-
Ayatollah A’rafi katika kulaani mauaji ya Maulamaa wa Kishia nchini Syria:
HawzaTaasis za kimataifa zilaani mauaji ya maulamaa wa Kishia nchini Syria / Wahalifu na waungaji mkono wa jinai hii katika kanda hii wanapaswa kuhojiwa
Hawza/ Mkurugenzi wa hawza Iran amesema kwa kusisitiza: Mimi binafsi naziomba taasisi zote za kimataifa, hasa Umoja wa Mataifa, Baraza la Haki za Binadamu, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu,…
-
Ayatollah A‘raafi katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa mwezi wa Muharram:
HawzaMaombolezo ya Muharram ya mwaka huu yafanyike kwa namna ya adhama zaidi kuliko miaka iliyopita / Hawza na maulamaa daima wamesimama imara juu ya ahadi yao kwa raia
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza amesisitiza kuwa: Maombolezo ya mwezi wa Muharram mwaka huu yanapaswa kufanyika kwa namna ya adhama zaidi kuliko zamani kwa lengo la kuimarisha hamasa ya Ashura na…
-
Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran:
HawzaUjasiri na mshikamano wa watu katika kutetea Mapinduzi na Taifa ni sababu ya kujivunia
Hawza/ Ayatollah Arafi, kwa kuthamini kujitolea vikosi vya ulinzi na wananchi wa Iran, ameitaja hali ya uwepo wa watu kwa namna ya fahari na kwa uangalifu katika kutetea nchi kuwa ni sehemu muhimu…
-
Ayatollah A'rafi katika Swala ya Ijumaa Qom:
HawzaIsrael ni kambi ya kijeshi ya Magharibi
Hawza/ Khatibu wa Ijumaa ya Qom, Ayatollah Alireza A'rafi, alisema kuwa maadui na wanafiki wafahamu kuwa wamepiga mahali pasipo sahihi, wamefanya makosa ya kimkakati na kutenda jinai kubwa. Baadhi…
-
HawzaBarua ya Ayatollah Arafi kwa zaidi ya shakhsia 80 za Kiislamu na dini nyengine duniani, Kufuatia uvamizi uliofanywa utawala wa Kizayuni
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza za Kiislamu nchini Irani, kufuatia uvamizi uliofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jumhuri ya Kiislamu ya Iran, amewasiliana na zaidi ya watu 80 mashuhuri wa Kiislamu…
-
Ayatollah arafi atoa tahadhari kwa mabeberu na Wazayuni wanaofuata njia ya Hitla:
HawzaKuwavunjia heshima marajii kutasababisha hasira kwa umma wa kiisalamu
Hawza/ Mudiir wa hawza Qum ameeleza kuwa; Katika masiku ya karibuni viongozi wa mabeberu ulimwenguni na Mazayuni wamwaga damu, wameleta taharuki na hasira kwa waislamu baada ya kuwavunjia heshima…
-
Ayatollah Arafi akiliongelesha Taifa la Irani:
HawzaMpaka mwisho wa vita tupo Pamoja nanyi/ Wapiganaji jihadi wa Hawza wapo tayari kwa ajili ya kujenga nyumba Pamoja na sehemu zilizo haribiwa
Hawza/ Ayatollah Arafi amesema; sisi tupo Pamoja nanyi situ katika ujenzi bali katika majeraha yote, kuwatia moyo na kuwakingia kifua, tunayo Imani ya kweli kwamba taifa hili tukufu litafanikiwa…
-
Ayatollah A'raafi:
HawzaWananchi wa Irani, wamesimama bega kwa bega na majeshi ya ulinzi/ Jibu thabiti la Iran litakuwa ni lenye kuleta majuto
Mkurugenzi (mudiri) wa Hawza, kufuatia jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni, alibainisha kuwa: Taifa letu makini katika nyakati za hatari na katika kipindi cha kuamua hatima, limekuwa mstari…
-
HawzaAyatollah Arafi atuma ujumbe wa pongezi kwa Papa mpya / Asisitiza ushirikiano wa kielimu na kitamaduni kati ya hawza ya Iran na Vatikani
Hawza/ Mkurugenzi (Mudir) wa hawza nchini Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa kuchaguliwa Papa Leon wa kumi na nne kuwa kiongozi wa Katoliki duniani.
-
Ayatollah A'rafi asema kuwa:
HawzaHawza ya Qom imeenea katika nchi zaidi ya 100 duniani
Mkurugenzi (Mudir) wa Hawza nchini Irani alisema: Katika zaidi ya nchi 100 duniani, vijana wanaopenda maarifa ya kimungu wamejitokeza na kwa kunufaika na maarifa waliyojifunza katika Hawza ya…
-
HawzaBarua ya Ayatollah Arafi kumuelekea Imam Khamenei / Ahadi na Kiaga cha Wanahawza kwa Ajili ya Kutekeleza Azimio la “Hawza Inayosonga mbele na Iliyopo Kileleni”
Mkurugenzi wa Hawza nchi Irani, ametoa shukrani na pongezi kutokana ujumbe wa kihistoria na muhimu ulio tolewa na Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwenye kongamano la kumbukumbu ya miaka…
-
Ayatollah A'arafi amesema:
HawzaUtekelezaji wa Mpango wa awamu ya pili ya Miaka Mitano ya Hawza kwa mujibu wa ujumbe wa kihistoria wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi
Mkurugenzi (Mudir) wa Hawza nchini Irani, huku akitoa shukrani kutokana na ujumbe wa kimkakati na wa kihistoria uliotelewa na Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi, ametangaza kuwa mpango wa awamu ya pili…
-
Ayatollah A'rafi katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu kongamano la kuanzishwa kwa upya Hawza ya Qum:
HawzaHawza ya Qum ina mwendelezo wa kimataifa/ Hawza na maulamaa pasi na watu havina maana
Mkurugenzi wa Hawza Irani, katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wanahabari, alifafanua vipengele vya mabadiliko vilivyo leta athari katika Hawza ya Qum ndani ya kipindi cha miaka mia…
-
HawzaAyatollahil-‘Udhmaa Nuri Hamadani katika kikao chake na Ayatollah A‘raafi: Katika miaka ya hivi karibuni, mabadiliko makubwa yamejitokeza kwenye Hawza.
Hadhrat Ayatollah Nuri Hamadani katika kikao chake na Mkurugenzi (Mudir) wa Hawza nchini Iran alibainisha kuwa: Bila shaka yoyote, katika miaka hii ya hivi karibuni, shughuli nyingi zimefanyika…
-
HawzaAyatollah Arafi: Kanzu Tukufu ya Bwana wa Mashahidi (a.s) ni Ensaiklopidia ya Ustahimilivu
Mudiri wa Hawza nchini Irani katika ujumbe wake kwenye mkutano na wasomi wa mimbari za Kishia alisisitiza kuwa: Kanzu tukufu ya Bwana wa Mashahidi (a.s) ni hati na alama kamili ya damu zilizomwagika…
-
Ayatollah A'raafi katika ujumbe wake wa rambirambi kwa wafuasi wa dini ya kikristo:
HawzaPapa Francis alikuwa na juhudi zenye thamani katika kuimarisha uhusiano kati ya dini za Mungu hususan Uislamu na Ukristo
Papa Francis, kwa mtazamo wa kibinadamu na kimaadili, alikuwa na juhudi zilizo na thamani katika kuimarisha uhusiano kati ya dini za mbinguni, hasa hasa Uislamu na Ukristo, na katika kueneza…
-
Mkurugenzi (Mudiri) wa Hawza zote nchini Irani:
HawzaUtambulisho wa kiuwanafunzi wa dini (talaba) ni Lulu ya asili kwa mwanafunzi
Mkurugenzi wa Hawzah nchi Irani, katika kikao chake na wanafunzi wa Hawzah kilichofanyika katika mji wa Tehran – Iran, alielezabkuwa: Neema kuu zaidi kutoka kwa Mwenyezi Mungu ni kuwepo katika…
-
Ayatollah A'rafi:
HawzaShule za kidini (Hawza) lazima ziwe na "mfumo wa Ijtihadi-Adabi"
Mudiri wa Hawza Nchi Irani, ameeleza kuwa ni muhimu kwa Hawza kuelekea katika kuunda mfumo wa ijtihadi-Adabi, amesema: “Kwa msingi huu, tunakaribisha masomo ya ijtihadi-Adabi ambayo yatakuwa…
-
Ayatollah Arafi katika Swala ya Ijumaa mjini Qom (Iran):
HawzaUchumi imara ni ule unaojengwa pamoja na ushirikiano wa wananchi
Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Qom (Iran) amesema: Uzalishaji ni msingi na mhimili wa uchumi salama, na akaongeza kwamba uchumi imara ni ule unao simamamia ushiriki wa wananchi, uchumi…