Jumatano 19 Agosti 2026 - 11:09
Hadithi ya Leo | Kumtii Mwenyezi Mungu

Hawza/ Imam Ha'di (as) katika riwaya moja anaashiria umuhimu wa kumtii Mwenyezi Mungu na kutokujali ghadhabu za watu katika njia ya kupata ridhaa ya Mwenyezi Mungu.

Shirika la Habari la “Hawza” linachapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu Tuhaf al-Uqul, kama ifuatavyo:

Imam Hadi (as) anasema:

«مَنْ أَطَاعَ الْخَالِقَ لَمْ یُبَالِ سَخَطَ الْمَخْلُوقِینَ، وَمَنْ أَسْخَطَ الْخَالِقَ فَلْیَیْقَنْ أَنْ یَحِلَّ بِهِ سَخَطُ الْمَخْلُوقِینَ.»

“Mwenye kumtii Muumba hatojali ghadhabu za viumbe; na mwenye kumchukiza Muumba, na awe na yakini kwamba ghadhabu za viumbe zitamshukia yeye.”

Tuhaf al-Uqul, uk. 482.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha