Alhamisi 9 Julai 2026 - 06:25
Familia ya Kiongozi Shahidi Imam Khamenei Yaagwa katika Haram ya Hadhrat Abal-Fadhl al-Abbas (as) + Picha

Hawza/ Haram Tukufu ya Abbasiyya imeshuhudia hafla ya kuaga na kusindikiza miili mitukufu ya familia ya Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei (Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake).

Kwa mujibu wa ripoti ya Kitengo cha tarjama cha Shirika la Habari la Hawza, Haram Tukufu ya Abbasiyya imekuwa mwenyeji wa hafla ya kuaga na kusindikiza miili mitukufu ya familia ya Imam Sayyid Ali Khamenei (Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake).

Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Haram Tukufu ya Hadhrat Abal-Fadhl al-Abbas (as), ikihudhuriwa na viongozi wa Haram Tukufu ya Abbasiyya pamoja na umati mkubwa wa waombolezaji waliojitokeza kushiriki katika kuwaaga marehemu hao.

Shughuli hizo zilijumuisha kusomwa Ziara ya Abal-Fadhl al-Abbas (as), pamoja na kuombewa mashahidi hao rehema na maghfira kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Hapo awali, Haram Tukufu ya Abbasiyya ilikuwa imefanya vikao vya kina na idara zake husika kwa ajili ya kuandaa mpango maalumu na wa kina wa utekelezaji wa shughuli za mazishi ya Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei (Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na familia yake. Mpango huo ulijumuisha uratibu wa njia ya msafara wa mazishi kuanzia Haram Tukufu ya Husseini, kupitia eneo la Bayn al-Haramayn, hadi kufika katika Haram Tukufu ya Abbasiyya, ili kuhakikisha mtiririko mzuri na salama wa umati wa waombolezaji.

Familia ya Kiongozi Shahidi Imam Khamenei Yaagwa katika Haram ya Hadhrat Abal-Fadhl al-Abbas (as) + Picha

Familia ya Kiongozi Shahidi Imam Khamenei Yaagwa katika Haram ya Hadhrat Abal-Fadhl al-Abbas (as)

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha