Hawza/ Katibu wa Baraza Kuu la Hawza, huku kufafanua jukumu la kiasili la hawza katika uwanja wa tablighi, amebainisha kuwa, kuwatuma wahubiri katika minasaba ya kidini ni mfano halisi wa kutekeleza…
Hawza/ Tuzo ya Kumi na Moja ya Kimataifa ya Arbaeen, kwa kuwatunuku washindi na kusisitiza nafasi kuu ya sanaa na vyombo vya habari katika kusambaza ujumbe wa Ashura duniani, imehitimisha shughuli…
Hawza/ Bibi Zaynab (sa) alikuwa mwanamke mwenye akili, ujasiri na subira ya kipekee; kwa ufahamu kamili wa misukosuko, aliandamana na Imam Hussein (as), na kwa hotuba zake pamoja na uongozi wake…