Jumamosi 17 Oktoba 2026 - 07:45
Je! Ni Ipi Haki ya Mtu Anayekuomba Ushauri

Hawza/ Imamu Zainul Abidina (a.s.), katika riwaya ameeleza mojawapo ya haki za mtu anayeomba ushauri.

Shirika la Habari la Hawza, linachapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu cha Al-khisal.

Imamu Zainul Abidina (a.s.) amesema:

«حَقُّ الْمُسْتَشِیرِ إِنْ عَلِمْتَ أَنَّ لَهُ رَأْیاً أَشَرْتَ عَلَیْهِ وَإِنْ لَمْ تَعْلَمْ أَرْشَدْتَهُ إِلَی مَنْ یَعْلَمُ.»

Haki ya mtu anayeomba ushauri ni kwamba, ikiwa una maoni yanayoweza kumwongoza, basi mpe ushauri huo, na ikiwa huna ujuzi kuhusu jambo hilo, basi mwelekeze kwa mtu mwenye ujuzi na maarifa katika sekta hilo.

Chanzo: Al-khisal, uk. 570.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha