kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, picha za tukio hilo ni kwama ifuatavyo:

Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania TIC Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge Ameshiriki katika Hafla ya Maulid ya Mtume Muhammad s.a.w.w iliyofanyika Jana Masjid Majmuatul Islamiya Kwa Mwenyekiti wa JMAT Taifa Sheikh Al-had Mussa Salum Temeke Mwisho, katika hafla hiyo SHeikh huyo aliweza kukabidhiwa tuzo maalumu ya amani na heshima.
Maoni yako