Hawza/ sheikh mkuu wa Jumuiya ya Shia nchini Tanzanzania (TIC), katika hotuba yake ya swala ya ijumaa alielezea falsafa ya kisimamo cha Arafa kutokana na mtazamo wa Imam Khomeini (ra).
Hawza/ Madrasa na hawza ya Imaam Swadiq (as) leo hii imepokea ugeni mzito kutoka katika Maktaba ya Sayyid Hakim (ra), na ugeni huo umekaribishwa vizuri katika hawza hiyo.