Shirika la habari la Hawza - Mwenyezi Mungu anasema:
«.أَحَسِبَ ٱلنَّاسُ أَن يُترَكُوٓاْ أَن يَقُولُوٓاْ ءَامَنَّا وَهُمۡ لَا يُفتَنُونَ»
“Je! Wanadhani watu wataachwa kwa kuwa wanasema: Tumeamini. Nao wasijaribiwe?” (Sura Ankabut, Aya 2)
Sisi sote tunamkubali Mwenyezi Mungu na Mtume (saww) na kushuhudia ukweli wao, lakini lazima tujue kwamba hii haitoshi. Wanadamu hawatajulikana hadi wajaribiwe. Kwa sababu ni wakati wa misiba na matatizo ndipo ukweli wa watu unadhihirika. Ukweli wa mwanadamu hubainika anapowekwa kwenye mtihani wa kimungu.
Imechukuliwa kutoka kwenye kitabu “Aya kuu za Qur'ani”
Maoni yako