Shirika la habari la Hawza - Mtume (s.a.w.w) amesema:
«مَنْ قَبَّلَ وَلَدَهُ كَتَبَ اللّهُ عَزَّوَجَلَّ لَهُ حَسَنَةً وَمَنْ فَرَّحَهُ فَرَّحَهُ اللّهُ يَوْمَ الْقِيامَةِ وَمَنْ عَلَّمَهُ القُرْءانَ دُعِىَ بِالْأَبَوَيْنِ فَيُكْسَيانِ حُلَّتَيْنِ يَضىءُ مِنْ نُورِهِما وُجُوهُ أَهْلِ الْجَنَّةِ.»
Mwenye kumbusu mtoto wake, Mwenyezi Mungu aliyetukuka, humuandikia jema; na mwenye kumfurahisha mtoto wake, basi Mwenyezi Mungu atamfurahisha Siku ya Kiyama. Na mwenye kumfundisha mtoto wake Qur'an, basi mtoto huyo ataitwa [Siku ya Kiyama] pamoja na wazazi wake na kuwavisha mavazi mawili ambapo nyuso za watu wa peponi zitang'aa kutokana na nuru yao.
Al-Kafi, Jz 6, uk 49
Maoni yako