akhlaq (4)
-
DiniSiri ya Uhai na Umauti wa Roho kwa Mtazamo wa Allamah Hasan Zadeh Amoli
Hawza/ Allamah Hasan Zadeh (ra), kwa kurejelea maneno ya Amirul-Mu’minin (as), analinganisha hali ya mwili na roho.
-
DiniAllama Hasan Zadeh Amoli: Maisha ya milele yapo mbele yetu; Usijisahau mwenyewe
Hawza/ Ewe kiumbe bora, usijisahaulishe; uwepo huu wa thamani kubwa ni kazi ya kipekee ya Mwenyezi Mungu, ukimsahau Mungu, utajisahau mwenyewe pia, na huo ndio mwanzo wa kuanguka, basi jihadhari,…
-
Darsa la (Akhlaq) Maadili:
DiniMwisho wa kufuata matamaniwa ya Nafsi ndio Mwanzo wa ubinadamu
Hawza | Mtu ambaye haoni thamani yoyote ya kidunia kwa ajili ya nafsi yake, hufikia daraja ya utukufu wa nafsi kiasi kwamba hawezi kufikiwa kirahisi. Heshima ya nafsi si kiburi wala si udhalili,…
-
Maadili ya kiislamu:
DiniElimu isiyo ambatana na ufikiriaji, haina faida
Kuujaza ubongo wa mtu kanuni za kisayansi, mantiki na falsafa, au elimu yoyote kutakuwa na athari ndogo sana hadi hapo kutakapokuwa na misingi ya fikra sahihi, mtazamo wazi ulimwenguni na kuitambua…