Shirika la Habari la Hawza - Imamu Swadiq (a.s) amesema:
«لاَ تَدَعْ طَلَبَ اَلرِّزْقِ مِنْ حِلِّهِ فَإِنَّهُ عَوْنٌ لَكَ عَلَى دِينِكَ.»
"Usiache kutafuta riziki kwa njia ya halali; kwani ni auni (msaada) kwa ajili yako katika dini."
Wasail al-Shiah, Jz 17, uk 34
Maoni yako