Shia Tanzania (51)
-
Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salam:
DuniaUmoja na Mshikamano Ni Msingi wa Kujenga Mustakabali wa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania imefanya maadhimisho makubwa ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mbora wa Viumbe, Mtume Muhammad (saww), katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Unity…
-
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza:
VideoMashia wa Kishirazi Ndio Walioeneza Uislamu Tanzania + Video
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke, amesema kuwa; Waislamu wenye asili ya Kishirazi kutoka Uajemi walikuwa miongoni mwa watu wa mwanzo waliofika katika maeneo ya Tanganyika…
-
DuniaSheikh Mkuu wa TIC Aungana na Viongozi wa Kiislamu katika Khitma ya Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, amehudhuria dua na kisomo cha khitma kwa ajili ya kumuombea marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan,…
-
DuniaTIC Yafika Zanzibar; Sheikh Jalala Aongoza Ujumbe wa Pole kwa Rais Samia, Kufuatia Msiba wa Mumewe
Hawzah/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, siku ya jana amefanya ziara ya Zanzibar kuelekea Kizimkazi kwa lengo la kutoa mkono wa pole kwa…
-
DuniaTIC Yamuenzi Sheikh Abdallah Seifu: Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania, Aongoza Hauli na Dua Lindi
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, jana Jumatano ameongoza zoezi la kisomo cha Khitma na dua maalumu kwa ajili ya kumuombea marehemu…
-
DuniaMwanza Kuandika Historia ya Maulidi/ Hafla Kubwa ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Mtume (s.a.w.w.) Kufanyika Igogo
Hawza/ Wakazi wa jiji la Mwanza na maeneo ya jirani wanatarajiwa kushuhudia hafla kubwa na yenye kuleta furaha ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu wa Uislamu, Muhammad Mustafa…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaDunia Inapaswa Kufuata Mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Hemedi Jalala, ametoa wito kwa jamii duniani kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.), akisisitiza kuwa maisha na mwenendo…
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Ahlulbayt (as) Jijini Arusha:
DuniaTofauti za Kimadhehebu Zisiwe Sababu ya Waislamu Kutengana
Hawza/ Mkurugenzi wa Madrasa ya Ahlulbayt iliyopo jijini Arusha, Dkt. Sheikh Abdurazak Amiri, ametoa wito kwa Waislamu kutoruhusu tofauti za kimadhehebu kuwa sababu ya kutengana, akisisitiza…
-
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na AmaniTanzania:
DuniaMaulidi ya Mtume (s.a.w.w.) Yanatufundisha Umoja na Kuepukana na Mifarakano
Hawza/ Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania, Dk. Sheikh Alhadi Mussa Salum, amesema: Maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.) yamebeba ujumbe mkubwa wa umoja wa Kiislamu,…
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayyid Shuhadaa (as):
Dunia“Bila ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.) Hakuna Amani Duniani”
Hawza/ Sheikh Maulidi Hussein Sombi, amesisitiza umuhimu wa kumuenzi Mtume Muhammad (s.a.w.w.) kwa kuzingatia mafundisho yake ya amani, umoja na mshikamano, huku akieleza kuwa Mtume Mtukufu ni…
-
DuniaBilal Muslim Temeke, Yaadhimisha Hafla ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Kituo cha Bilal Muslim kimeandaa hafla maalumu ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), katika tukio lililolenga kuenzi maisha, ujumbe na mafundisho ya Mtume…
-
DuniaShangwe na Furaha Zatawala Kigogo, TIC Yaadhimisha Mazazi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Jumuiya ya Shia Ithnaashariyyah Tanzania (TIC) imeungana na Waislamu wote nchini katika kuadhimisha kwa shangwe na furaha kubwa kumbukumbu ya kuzaliwa Mtukufu wa daraja Mtume Muhammad…
-
DuniaTIC na Hawza Imam Swa’diq (as) Waanza Maadhimisho ya Maulidi ya Mtume (s.a.w.w.) kwa Hafla ya Samāi Dar es Salaam
Hawza/ Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), kwa kushirikiana na Hawza ya Imam Swa’diq (as), imeanza kwa hamasa maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), kupitia hafla maalumu ya…
-
DuniaHujjatul-Islam Mahdavi-Pour, Atembelea Ofisi ya Sheikh Mkuu wa Shia Tanzania, Ushirikiano wa Kielimu Wasisitizwa
Hawza/ Ofisi ya Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), jana ilipokea ugeni wa Hujjatul-Islam Mahdayi-Pour kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran,…
-
DuniaKituo cha Noor Dar es Salaam, Chaendesha Kikao Maalumu kuhusu Ujumbe wa Mtume (s.a.w.w.) katika Dunia ya Kisasa
Hawza/ Kituo cha Noor Dar es Salaam nchini Tanzania kimeendesha kikao maalumu cha kielimu na kiroho kilicholenga kuwakumbusha waumini nafasi na umuhimu wa ujumbe wa Mtume Muhammad (s.a.w.w.)…
-
DuniaBendera ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) Yapandishwa Kigogo: Sheikh Jalala Atoa Wito wa Upendo, Amani na Mshikamano
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ameongoza zoezi la upandishaji wa Bendera ya Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w), katika hafla iliyofanyika…
-
DuniaWaumini Waalikwa Katika Sherehe Kubwa ya Maulidi ya Mtume (saww) na Zafa Jijini Dar es Salaam
Hawza/ Uongozi wa Hawza ya Imam Swa’diq (as), kwa kushirikiana na Jumuiya ya Shia Ithnaasharia Tanzania (TIC), umeandaa hafla maalumu ya kusherehekea Maulidi ya Mtume Muhammad (saww), ikiwa ni…
-
DuniaSemina Maalumu ya Kukuza Uwezo na Ubunifu wa Wahubiri wa Kiislamu Yafanyika Tanzania
Hawza/ Taasisi ya Bilal Muslim imeandaa semina maalumu ya siku tano yenye lengo la kuimarisha uwezo, maarifa na ujuzi wa wahubiri wa dini ya Kiislamu, hususan walimu na wasimamizi wa vituo vya…
-
DuniaHafla ya Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) Yafanyika Dar es Salaam Tanzania + Picha
Hawza/ Waumini wa jijini Dar es Salaam jana tareh 28 Swafar 1448, walikusanyika katika Msikiti wa Ghadiir uliopo Kigogo Post jijini humo, ili kushiriki katika maadhimisho ya Majlisi ya kumbukizi…
-
DuniaWaumini wa Kishia Tanga Waadhimisha Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) kwa Matembezi ya Amani + Picha
Hawza/ Katika hali ya huzuni na majonzi makubwa, waumini wa Kishia jijini Tanga wamefanya matembezi ya amani kwa ajili ya kuadhimisha kumbukizi ya kifo cha Mtume Muhammad (saww), huku wakionesha…
-
DuniaWaumini wa Arusha Tanzania Waadhimisha Kifo cha Mtume (saww) kwa Matembezi ya Amani + Picha
Hawza/ Katika hali ya huzuni, majonzi na kumbukumbu nzito ya kumpoteza Mtume Muhammad (saww), waumini wa Arusha nchini Tanzania wameadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mtume (saww) kwa kufanya matembezi…
-
DuniaMatembezi ya Amani kwa Ajili ya Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) Yafanyika Tabora Tanzania + Picha
Hawza/ Tabora, Tanzania — Katika mazingira yaliyojaa huzuni, majonzi na kumbukumbu ya tukio kubwa katika historia ya Uislamu, waumini wa mji wa Tabora nchini Tanzania wamefanya matembezi ya amani…
-
Dunia“Huyu Ndiye Mtume Muhammad (saww)”: Dar es Salaam Yatikiswa na Matembezi ya Maombolezo ya Kifo Chake
Hawza/ Katika hali ya huzuni, mapenzi na kumbukumbu ya kina juu ya Mtume Muhammad (saww), waumini wa Shia jijini Dar es Salaam wamefanya matembezi makubwa ya kuomboleza kifo cha Mtume wa Allah…
-
DuniaMazishi ya Sayyid Ali Khamenei Yalibeba Ujumbe Mkubwa kwa Umma; Maulana Hemed Jalala Aainisha Mafunzo Matano Muhimu Rufiji
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, jana alihudhuria na kusoma Majlisi ya kumbukumbu ya Sayyid Ali Khamenei iliyofanyika katika Husseiniyat…
-
DuniaKongamano la Kumuenzi Imam Shahidi Lafanyika Dar es Salaam; Wanazuoni Wasisitiza Kuendeleza Njia Yake ya Haki na Uadilifu
Hawza/ Taasisi ya Maendeleo ya Kiislamu ya Falah imefanikiwa kuandaa kongamano maalumu la kielimu na kumbukizi kwa ajili ya kumuenzi Imam Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei (ra),…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaNukta Tano Muhimu Tunazojifunza Kutokana na Mazishi Makubwa ya Imam Shahidi Khamenei (ra)
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala, amesema kuwa; maisha na mazishi ya Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei (ra) yamebeba mafunzo makubwa kwa Waislamu na…
-
DuniaTanzania Yaomboleza Kifo cha Imam Shahidi Khamenei; Kumbukumbu ya Kiongozi Mkuu Yaishi Katika Nyoyo za Waumini
Hawza/ Hafla ya maombolezo ya kumuenzi Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei imefanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Tanzania, huku waombolezaji wakikusanyika kwa ajili ya kuenzi maisha,…
-
DuniaSheikh Mkuu wa TIC Aongoza na Kushiriki Matembezi ya Amani ya Ashura Temeke; Ujumbe wa Umoja na Haki Watolewa + Picha
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) na Kiongozi Mkuu wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ameshiriki katika Matembezi ya Amani ya kumbukizi…
-
DuniaMashia wa Morogoro Wamuitikia Imam Hussein (as); Wafanya Majlisi na Matembezi Makubwa + Picha
Hawza/ Katika kuhuisha kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as) na mashujaa wa Karbala, waumini wa Ahlul-Bayt (as) jijini Morogoro wamekusanyika kwa wingi kushiriki majlisi za maombolezo na…
-
DuniaMwanza Yamuomboleza Imam Hussein (as) kwa Kufanya Mkusanyiko Mkubwa + Picha
Hawza/ Waumini wa Ahlul-Bayt (as) jijini Mwanza wamefanya kikao kikubwa cha maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H, (2026) kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa kishahidi Imam Hussein (as),…