Jumapili 28 Juni 2026 - 08:43
Mwanza Yamuomboleza Imam Hussein (as) kwa Kufanya Mkusanyiko Mkubwa + Picha

Hawza/ Waumini wa Ahlul-Bayt (as) jijini Mwanza wamefanya kikao kikubwa cha maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H, (2026) kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa kishahidi Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), pamoja na masahaba na watu wa familia yake waliouawa katika ardhi ya Karbala.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Kikao hicho kilifanyika katika mazingira ya huzuni na tafakuri, ambapo waumini walikusanyika kwa wingi kusikiliza mihadhara ya kidini, kusoma marsiya na kuomboleza msiba wa Karbala, huku wakikumbushwa misingi ya uadilifu, kusimama dhidi ya dhuluma na kujitolea kwa ajili ya kuilinda dini ya Mwenyezi Mungu.

Mwanza Yamuomboleza Imam Hussein (as) kwa Kufanya Mkusanyiko Mkubwa + Picha Mwanza Yamuomboleza Imam Hussein (as) kwa Kufanya Mkusanyiko Mkubwa + Picha Mwanza Yamuomboleza Imam Hussein (as) kwa Kufanya Mkusanyiko Mkubwa + Picha Mwanza Yamuomboleza Imam Hussein (as) kwa Kufanya Mkusanyiko Mkubwa + Picha

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha