Muharram Tanzania (22)
-
DuniaSheikh Mkuu wa TIC Aongoza na Kushiriki Matembezi ya Amani ya Ashura Temeke; Ujumbe wa Umoja na Haki Watolewa + Picha
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) na Kiongozi Mkuu wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ameshiriki katika Matembezi ya Amani ya kumbukizi…
-
DuniaMashia wa Morogoro Wamuitikia Imam Hussein (as); Wafanya Majlisi na Matembezi Makubwa + Picha
Hawza/ Katika kuhuisha kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as) na mashujaa wa Karbala, waumini wa Ahlul-Bayt (as) jijini Morogoro wamekusanyika kwa wingi kushiriki majlisi za maombolezo na…
-
DuniaMwanza Yamuomboleza Imam Hussein (as) kwa Kufanya Mkusanyiko Mkubwa + Picha
Hawza/ Waumini wa Ahlul-Bayt (as) jijini Mwanza wamefanya kikao kikubwa cha maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H, (2026) kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa kishahidi Imam Hussein (as),…
-
DuniaMatembezi ya Amani ya Ashura Yafanyika Kibaha - Pwani, Waumini Wahuisha Kumbukumbu ya Imam Hussein (as) + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia katika mji wa Kibaha, mkoani Pwani, wamefanya Matembezi ya Amani katika Siku ya Ashura 1448 H/2026, kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa Imam…
-
DuniaKikao cha Maombolezo Siku ya Ashura chafanyika Mbeya, Nchini Tanzania + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mkoani Mbeya wamekusanyika katika Kikao cha Maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H/2026 kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa kishahidi Imam Hussein (as),…
-
DuniaMatembezi ya Amani ya Ashura Yawakutanisha Mamia ya Waumini Jijini Dar es Salaam + Picha
Hawza/ Mamia ya waumini wa dhehebu la Shia jijini Dar es Salaam wamejitokeza kushiriki Matembezi ya Amani yaliyofanyika katika maadhimisho ya Siku ya Ashura 1448 H/2026, ikiwa ni sehemu ya kuenzi…
-
DuniaMatembezi Mukubwa ya Ashura Yafanyika Jijini Moshi; Mapenzi ya Imam Hussein Yadhihirika kwa Waumini + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamefanya Matembezi ya Amani katika Siku ya Ashura 1448 H/2026, kwa lengo la kuenzi na kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi…
-
DuniaMashia wa Kigoma Wafanya Matembezi Makubwa, Utajo wa Imam Hussein (as) Wahuishwa + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mkoani Kigoma wamefanya Matembezi ya Amani katika Siku ya Ashura 1448 H/2026, kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa kishahidi Imam Hussein (as), mjukuu…
-
DuniaWaumini wa Tanga Wamiminika Barabarani Siku ya Ashura; Imam Hussein (as) Aenziwa kwa Kishindo
Hawza/ Katika kuadhimisha Siku ya Ashura 1448 H/2026, waumini wa dhehebu la Shia mkoani Tanga wamefanya Matembezi ya Amani yaliyoakisi mshikamano wao katika kuenzi kumbukumbu ya shahada ya Imam…
-
DuniaMatembezi ya Amani ya Ashura Yafanyika Arusha; Ujumbe wa Haki na Mshikamano Watolewa + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mjini Arusha wamefanya Matembezi ya Amani katika kuadhimisha Siku ya Ashura 1448 H/2026, huku wakihuisha kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as), mjukuu wa…
-
DuniaMatembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Arusha + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia jijini Arusha wamefanya matembezi ya amani kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), aliyeuawa kwa dhuluma…
-
DuniaVikao vya Maombolezo ya Imam Hussein (as) na Matembezi ya Amani Vyafanyika Mjini Moshi, Tanzania + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mjini Moshi, Tanzania, wamefanya vikao vya maombolezo ya Imam Hussein (as) sambamba na matembezi ya amani katika kuhuisha kumbukumbu ya shahada ya mjukuu wa…
-
DuniaMatembezi ya Amani ya Kumuenzi Imam Hussein (as) Yafanyika Jijini Singida, Tanzania + Picha
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia jijini Singida wamefanya matembezi ya amani kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), katika…
-
DuniaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) Ashiriki Zoezi la Usafi Kumuenzi Imam Hussein (as) Jijini Dar es Salaam + Picha
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala, jana tareh 25 June 2026, ameshiriki katika zoezi la usafi wa mazingira lililofanyika katika maeneo ya Kigogo,…
-
DuniaNaibu Mudiri wa Hawza ya Imam Swadiq (as) Aongoza Zoezi la Uchangiaji Damu Jijini Dar es Salaam
Hawza/ Katika kuhuisha ujumbe wa kujitolea, kujisadikisha na kuihudumia jamii unaofundishwa na harakati za Imam Hussein (as), Mkurugenzi Msaidizi wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Sheikh Muhammad…
-
DuniaMajlisi za Imam Hussein (as) Zaendelea Kuadhimishwa kwa Hamasa Kubwa Mjini Moshi, Tanzania
Hawza/ Katika mwendelezo wa maadhimisho ya mwezi wa Muharram na kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as), majlisi za maombolezo zimeendelea kufanyika kwa hamasa kubwa katika mji wa Moshi, nchini…
-
DuniaMajlisi za Maombolezo ya Imam Hussein (as) za Kinamama Zaendelea Nchini Tanzania + Picha
Hawza/ Katika siku za maombolezo ya mwezi wa Muharram, zinazokumbusha tukio la kusikitisha la kuuawa kwa njia ya dhuluma Imam Hussein (as) na wafuasi wake katika ardhi ya Karbala, wanawake waumini…
-
DuniaMajlisi za Maombolezo ya Imam Hussein (as) Zaendelea kwa Huzuni Kubwa Jijini Arusha, Tanzania
Hawza/ Katika hali ya huzuni, majonzi na kumbukumbu zenye kuumiza nyoyo za waumini wa Ahlul-Bayt (as), Kituo cha Ahlul-Bayt jijini Arusha kimeendelea kuandaa majlisi za maombolezo ya msiba wa…
-
DuniaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania Aongoza Majlisi ya Imam Hussein (as) Bilal Temeke; Atoa Nasaha Muhimu Kuhusu Imam Mahdi (as)
Hawza/ Katika mazingira yaliyojaa huzuni, tafakuri na mapenzi kwa Ahlul-Bayt (as), Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) na Kiongozi Mkuu wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Sheikh Hemed Jalala,…
-
DuniaMajlisi za Imam Hussein (as) Zaendelea kwa Hamasa Kubwa katika Nchi za Afrika Mashariki
Hawza/ Nchi mbalimbali za Afrika Mashariki zimeendelea kushuhudia majlisi na mikusanyiko mikubwa ya maombolezo ya Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), katika kumbukumbu ya kuuawa…
-
Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania:
DuniaVijana Tumieni Akili ili Muweze Kuitambua Haki na Kuepukana na Batili
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Mashia Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala, amewahimiza vijana kutumia akili na fikra zao katika kutafakari masuala mbalimbali ya dini na maisha ili waweze…
-
DuniaArusha Yatangaza Rasmi Ufunguzi wa Majlisi za Imam Hussein (as) kwa Muharram 1448H
Hawza/ Jiji la Arusha limeanza rasmi maadhimisho ya Majlisi za Imam Hussein (as) kwa mwezi mtukufu wa Muharram 1448 Hijria, unaosadifiana na mwaka 2026 Miladia, katika mazingira yaliyojaa huzuni,…