Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Matembezi hayo yaliandaliwa kwa ushirikiano kati ya Khoja Shia Ithna-Asheria na Khatamul Anbiyaa Institution – Arusha, yakihusisha ushiriki wa waumini na wananchi mbalimbali waliotembea kwa utulivu wakibeba ujumbe wa amani, haki na kupinga dhuluma.
Washiriki wa matembezi hayo walisisitiza kuwa maadhimisho ya kumbukumbu ya Imam Hussein (as) ni fursa ya kuendeleza maadili ya uadilifu, kujitolea na kusimama dhidi ya dhuluma, sambamba na kuimarisha mshikamano na amani katika jamii.
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |









Maoni yako